Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unaona nilicho andika hakina maana, na mimi naanza kupata mashaka juu ya akili yako na umri wako pia.Kwa kuanzia hiki ulicho andika.
🙌Wengi wanataka kuuza nyapu tu
Ova
Mapepo yapo lakini kwanini wanafunzi ndyo wahanga wakubwa wa hayo? Kwanini waumwe wakiwa shuleni tu?Chizi anafurahisha akiwa sio ndugu yako.
Mapepo yapo na kuna watu yanawasumbua.
Nimesoma na watu wenye hali hizo miaka ya nyuma ikifika wiki ya mitihani anaanguka kabisa.
Akipelekwa hospitali haumwi anarudi sawa kesho tena anarudi shule anazimia.
Kuna ambao ni mapepo na mengine wanasingizia.
Kwa wale wenye mapepo suluhu yao ni kuwaombea na mapepo yanatolewa kabisa anarudi kuwa mzima wa afya.
Huyo pepo lake lilikuwa na ugomvi na vitabuKuna mmoja alikuja kwangu kama house maid eti hakufanya mtihani wa form four kwa sababu mapepo yalikua hayataki...eti akisoma anasinzia au anaumwa kichwa...nikashangaa sana
Bahati yako 😆😆Wewee😄naijua iyo😄
Wazee wa zamani waliona mbali sana, unasimesha kwa gharama mwisho anaolewa na vyeti anafungia kabatiniSera yangu ni Moja tu mnawafundisha wanawake Ili iweje? Hao wanaojifanya kuwa na maoepo wanajitambua wanakataa majukumu yasiyokuwa Yao ya kutafta pesa, Sahihi kabisa japo wengi hamtaelewa, mwisho wa kusoma mwanamke ni darasa la Saba baada ya hapo Mume anawahi siti mapema kabisa.
😄😄Em toka hukoBahati yako 😆😆
Na and mimba au mnyororo wa 'wafadhili'Ni kweli wanandamwa na mapepo ambayo wanayatengeneza wenyewe.
Maana unakuta MTU yupo form two haujui what is Civics hapo lazima Mapepo yapande kichwani.
Kuna ndugu yangu aliacha form two, kila akienda shule anapandisha mapepo anakimbia kimbia tu, akakaa kitaa wakamtia mimba kazaa, hajawahi kupandisha mapepo tena tangu hapo... 🙌🙌Nimegundua mabinti wengi hawamalizi elimu ya sekondari, wakiona shule imekuwa ngumu wanaanza kujifanya wanapandisha mapepo, ajabu mapepo hayo hupanda siku za shule tu wala sio weekend.
Wazazi nao wanaamini kwamba watoto wao wana matatizo, watapeleka kwenye maombi lakini hawaponi, wanaamua heri waache shule wakae nyumbani, na hapo ndipo mapepo hayo hupotea na kutokomea kusiko julikana.
Wito wangu kwa wazazi ni kutokuendekeza watoto hasa wakifanya udanganyifu huu, wakipandisha hayo mapepo dawa ni fimbo tu mpaka akili ziwarudi.
Kwani tatizo liko wapi, mbna unanifukuza😆😆😄😄Em toka huko
😄😄😄Kaaa kwa kutulia sasaK
Kwani tatizo liko wapi, mbna unanifukuza😆😆
Mabinti wa mkoa gani ndugu mgunduzi?Nimegundua mabinti wengi hawamalizi elimu ya sekondari
Kubeba mimba ndyo wanacho ambulia wakikataa shuleKuna ndugu yangu aliacha form two, kila akienda shule anapandisha mapepo anakimbia kimbia tu, akakaa kitaa wakamtia mimba kazaa, hajawahi kupandisha mapepo tena tangu hapo... 🙌🙌
Mabinti wa sehemu mbalimbali nchini TanzaniaMabinti wa mkoa gani ndugu mgunduzi?