Mabinti wengi wanaacha shule kwa kisingizio cha kuandamwa na mapepo au mashetani

Mabinti wengi wanaacha shule kwa kisingizio cha kuandamwa na mapepo au mashetani

Sahihi kabisa, hao watoto wanafikia hatua ya kuchonganisha ndugu, wakipandisha mapepo wanasema maneno ya uongo mfano " nimetumwa na fulani"
Kipindi fulani kabla sijamuoa, mchumba wangu aliwahi kupandisha mapepo halafu yakaropoka kwamba yametumwa na blood sister wangu, niligombana na sista ila sikuwa na ushahidi kama kweli alituma hayo mapepo so nilikaa na kutafakari nikaona huyo demu alikuwa mchonganishi tu...

Nilijihakikishia miaka 3 baadae akiwa mke wangu baada ya kunichongea kituo cha polisi kwamba nilipanga kumuua so nililala kituo cha polisi kwa usiku mmoja...

Ilibidi niachane naye tu huyo mnyaramba.
 
Wazee wa zamani waliona mbali sana, unasimesha kwa gharama mwisho anaolewa na vyeti anafungia kabatini
Hata angekuwa
na kazi ukubali atakuwa ameolewa na wengi pia, Mimi nahudumia watoto wa like mpaka waolewe au wafe, na akiachika atarudi hapa nyumbani ale alale avae mpaka aje Mme mwingine aoe.
 
Back
Top Bottom