Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Hapo kuna mambo 2.....hakuna msukumo wa wazazi hasa kaya masikini na mikoa yetu Pwani anziaTanga hadi Mtwqra wazazi wanataka wawaozeshe....faster....sababu huwa nyingii.......pressure wanaume kudanganya kuwaoaaaNimegundua mabinti wengi hawamalizi elimu ya sekondari, wakiona shule imekuwa ngumu wanaanza kujifanya wanapandisha mapepo, ajabu mapepo hayo hupanda siku za shule tu wala sio weekend.
Wazazi nao wanaamini kwamba watoto wao wana matatizo, watapeleka kwenye maombi lakini hawaponi, wanaamua heri waache shule wakae nyumbani, na hapo ndipo mapepo hayo hupotea na kutokomea kusiko julikana.
Wito wangu kwa wazazi ni kutokuendekeza watoto hasa wakifanya udanganyifu huu, wakipandisha hayo mapepo dawa ni fimbo tu mpaka akili ziwarudi.
Ni watoto wa maskini, i dont know iman za kishirikina zimetawala masikini kuliko wenye nacho?Hii inawezekana nakwaasilimia kubwa ni watoto wamaskini
Na asilimia kubwa ni watoto wenye uwezo mdogo darasani.Hii inawezekana nakwaasilimia kubwa ni watoto wamaskini
Na wengi wanaishia hapo form two, hawapendi shule kabisa.Ni kweli wanandamwa na mapepo ambayo wanayatengeneza wenyewe.
Maana unakuta MTU yupo form two haujui what is Civics hapo lazima Mapepo yapande kichwani.
Mmeanza kuleta mambo yenu ya TASAF mpaka kwenye vitu vya msingi mnaanza kuingiza mambo ya TASAFkaya masikini
Hapo kuna mambo 2.....hakuna msukumo wa wazazi hasa kaya masikini na mikoa yetu Pwani anziaTanga hadi Mtwqra wazazi wanataka wawaozeshe....faster....sababu huwa nyingii.......pressure wanaume kudanganya kuwaoaaa
Hizo pia ni sababu za mabinti kuacha shule mapema, ila hili la mapepo limekuwa tatizo sugu.Hapo kuna mambo 2.....hakuna msukumo wa wazazi hasa kaya masikini na mikoa yetu Pwani anziaTanga hadi Mtwqra wazazi wanataka wawaozeshe....faster....sababu huwa nyingii.......pressure wanaume kudanganya kuwaoaaa
Ukweli mchunguuuu.....anziaTqnga malizia NtwarqMmeanza kuleta mambo yenu ya TASAF mpaka kwenye vitu vya msingi mnaanza kuingiza mambo ya TASAF
Hahahahhqha mbioooBro wenyewe akina nanilii wakikusikia mii simo.
😛
Daaaa lakini hata wale brighthupata mapepo au stress kutokutana wanaume? Wana kua miaka 14 hadi 20 hajaguswaHizo pia ni sababu za mabinti kuacha shule mapema, ila hili la mapepo limekuwa tatizo sugu.
Ndio unaingiza madudu yako ya TASAF mradi wa wapigaji?Ukweli mchunguuuu.....anziaTqnga malizia Ntwarq
Wanaweza kupata changamoto za kihisia tu kwasababu nao ni binadamu, lakini sio kufikia hatua ya kupandisha mapepo.Daaaa lakini hata wale brighthupata mapepo au stress kutokutana wanaume? Wana kua miaka 14 hadi 20 hajaguswa
Sahihi kabisa, hao watoto wanafikia hatua ya kuchonganisha ndugu, wakipandisha mapepo wanasema maneno ya uongo mfano " nimetumwa na fulani"Umenena Bob.
Wazazi wengi wanawadekeza sana watoto wao. Matokeo yake sasa wao ndio wanachrzewa akili na watoto wadogo!!!
Hata watoto wa matajiri wapo ambao hawapendi shule, wanaweza kuigiza mapepo ili wasiende shule.Sijui mtazamo wako na imani yako katika hili,Ila omba isiwe nyumbani kwako, Hao matajiri hukutwa pia tena sana sie masikini tunajulikana haraka sababu ya ile hali ya kutafuta msaada mwisho tunaonekana hatupendi shule,Tuna singizia mapepo.
SIKU LIKIWA KWAKO UTAELEWA
Ulishawahi kusikia genius anaanguka na mapepo? Hao janjajanja wanawaza ngono wanàtaka kwenda kufànya uzinzi tuu.Nimegundua mabinti wengi hawamalizi elimu ya sekondari, wakiona shule imekuwa ngumu wanaanza kujifanya wanapandisha mapepo, ajabu mapepo hayo hupanda siku za shule tu wala sio weekend.
Wazazi nao wanaamini kwamba watoto wao wana matatizo, watapeleka kwenye maombi lakini hawaponi, wanaamua heri waache shule wakae nyumbani, na hapo ndipo mapepo hayo hupotea na kutokomea kusiko julikana.
Wito wangu kwa wazazi ni kutokuendekeza watoto hasa wakifanya udanganyifu huu, wakipandisha hayo mapepo dawa ni fimbo tu mpaka akili ziwarudi.