Mabinti wengi wanaacha shule kwa kisingizio cha kuandamwa na mapepo au mashetani

Kuna katoto hapa mtaani jirani kenyewe kakienda shule tu lazima kazimie eti mapepo ila kakirudishwa tu nyumbani unakaona kanazurura mtaani na bodaboda wamekapakia.

Nikasema laity angekuwa mwanangu mbona historia ingeandikwa Tanzania
 
Hivi hayo mambo ya mapepo bado yapo 😀😀😀

Kuna jamaa yangu mmoja alikua ni mwenyekiti wa kikundi cha dini pia ni headboy, shule ya sekondari (x) jirani kabisa na anapoishi mwandosya , walienda joint mass vitoto vya kike wacha vianze kudondondoka nk, waliporudi shule headmaster mmoja wa kuitwa matujo alitembeza stiki kuanzia huyo mwenyekiti wao ile hali haikurudia tena
 
Acha tupandishe mapepo maaana ata tukisoma hamna ajira tunaishia tu kuuza mihogo
 
Niliwahi seme hili.hakunaga hayo mapepo.ni uvivu tu
 
Kuna katoto hapa mtaani jirani kenyewe kakienda shule tu lazima kazimie eti mapepo ila kakirudishwa tu nyumbani unakaona kanazurura mtaani na bodaboda wamekapakia.

Nikasema laity angekuwa mwanangu mbona historia ingeandikwa Tanzania
Hako kanahitaji fimbo za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…