Mabinti wengi wanaacha shule kwa kisingizio cha kuandamwa na mapepo au mashetani

Sir Majuto hakupenda masikhara kabisa, sema tu akianza kuhutubia shule basi mtakaa assembly ground kama two hrs hivi siku za ijumaa.

kumbe ulisoma Lufilyo mkuu!
 
Hata mimi sijawahi kuona mkuu, Inaonyesha watoto wa kike wengi hawapendi shule.

Nafikiri ule umri wa balehe, zile tamaa za kimwili wanakua wanawaza waza kuolewa...

Labda 🤔🤔🤔
Ni kweli kwamba wengi wao hawapendi shule wanawaza kuolewa tu
 
Kuna kamoja kapo form 2 jana kamepandisha maruhani hata hakaeleweki wanataka wakapeleke Hospital hakataki kanataka kanunuliwe maji ya Zamzam sijui eti ndo katakaa sawa kumbe ndo pogo zao
 
Kuna kamoja kapo form 2 jana kamepandisha maruhani hata hakaeleweki wanataka wakapeleke Hospital hakataki kanataka kanunuliwe maji ya Zamzam sijui eti ndo katakaa sawa kumbe ndo pogo zao
Afadhali hako kanataka maji, wengine wanasemaga eti wanataka damu
 
Reactions: M45
Unahitaji kujifunza zaidi kuhusu maisha pia natilia shaka sana kuhusu umri wako na akili zako.
 
Unahitaji kujifunza zaidi kuhusu maisha pia natilia shaka sana kuhusu umri wako na akili zako.
Mkuu mashaka juu ya umri wangu yanakuja kivipi? Em niambie ni kipi napaswa kujifunza kuhusu maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…