Kuna ndugu yangu aliacha form two, kila akienda shule anapandisha mapepo anakimbia kimbia tu, akakaa kitaa wakamtia mimba kazaa, hajawahi kupandisha mapepo tena tangu hapo... ππ
Kipindi fulani kabla sijamuoa, mchumba wangu aliwahi kupandisha mapepo halafu yakaropoka kwamba yametumwa na blood sister wangu, niligombana na sista ila sikuwa na ushahidi kama kweli alituma hayo mapepo so nilikaa na kutafakari nikaona huyo demu alikuwa mchonganishi tu...
Nilijihakikishia miaka 3 baadae akiwa mke wangu baada ya kunichongea kituo cha polisi kwamba nilipanga kumuua so nililala kituo cha polisi kwa usiku mmoja...
Hata angekuwa
na kazi ukubali atakuwa ameolewa na wengi pia, Mimi nahudumia watoto wa like mpaka waolewe au wafe, na akiachika atarudi hapa nyumbani ale alale avae mpaka aje Mme mwingine aoe.