Kila mwaka kuna mashindano ya mpira, ni circle itakayoendelea vizazi na vizazi. Soka haikupaswa kusababisha mihemko sababu kuna kesho, kesho kutwa, mwakani n.k n.k ajabu mihemko ipo, sijui inatokana na nini.
Yaani ni nini kinaingia kwenye ubongo wa shabiki na kumpa hisia za kiwango cha juu kwa jambo ambalo ni common sababu litafanyika tena na tena na tena siku zijazo. Mashindano ya mpira si unique, ni circle ile ile kila mwaka.