Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

Aiseee, jamaa wabaguzi sana wakati wao wapo huku bara. Kuna dogo mmoja wa kipemba kaja kupanga karibu na kwangu huku Rungwe anapambana kutafuta ardhi anunue ila apande parachichi. Jamaa ananipita tu hapa kwangu wala hanisalimii wala hasalimii mke wangu na watoto kwani ninafuga Nguruwe ila mimi ni mtaalamu wa ardhi so akikwama ananipigia simu.
 
Biashara na Muungano ni vitu viwili tofauti, kwani Bidhaa zinazo toka China na ulaya kwani tume ungana nazo hizo nchi zinazo leta bidhaa Tanzania?

china tumeungana nayo ndio maana unapata vitu kwa kodi ya kawaida.ushawai kuagiza vitu ulaya usikie ushuru wake
 
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Zanzibar .

Huu ndio msimamo unaotakiwa
 
Mbona huwa hawalalamiki kombe la mapinduzi
kuchezwa visiwani na timu za bara.

Huyo mdigo isijekuwa kaharibu kwa nyodo zake kwa wenye nchi halafu anatafuta huruma.

Si hata huku huwa anaongea shombo!
 
Vizenji ni vi mtu vya hovyo sana..no wonder kila uchaguzi lazima vipate kisago cha maana ili akili zao zikae sawa.

#MaendeleoHayanaChama
Zanzibar na ndondi wapi na wapi? Soka tu shida. Mgosi Mwaki peleka pambano Mkwakwani. Pumbavu zao.
 
Elimu ndugu yangu ww huwa hufatilii hats matokeo yao?
 
Tusifike huko tutakuwa tunakosea sana. Maana tunaweza kuanza kuuliza maswali ya hovyo kama:- huyu mama ni wa wapi vile?

Halafu tutaanza kusema urais wa Tanzania ni fursa ya watanganyika tutakuwa tunakosea Sana.
Tena ipo siku tutawatia bakora mpaka bandarini waende kwao we ngoja na hii Vita inakuja Kama viongozi hawajafanya kitu au kusema chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…