Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

Wadanganyika wanadai eti Zanzibar ikijitenga Tanganyika itakuwa hatarini kiusalama. Kivipi? (Hata mm sijawahi kuwaelewa)

Yes it's true

Hao waarabu wataanza wafadhili wenzao kifupi kutakuwa na watu ambao wanaeza kutuletea matatizo

Nashindwa namna ya kukuelezea

Mfano una kuku wanazagaa nje afu jirani kaanza fuga fisi
 
Mbona huwa hawalalamiki kombe la mapinduzi
kuchezwa visiwani na timu za bara.

Huyo mdigo isijekuwa kaharibu kwa nyodo zake kwa wenye nchi halafu anatafuta huruma.

Si hata huku huwa anaongea shombo!
Unajua hii ni mara ya kwanza ngumi zinapigwa huko,zanzibar walisitishaga mambo ya ngumi huko
Hii inaweza kuwa pia zengwe mwakinywo anafanyiwa
Ngoja tusubiri na tuone

Ova
 
Sijajuaga kwa nini hawa wenzetu wanakuwaga na ubaguzi namna hii.
 
Tusifike huko tutakuwa tunakosea sana. Maana tunaweza kuanza kuuliza maswali ya hovyo kama:- huyu mama ni wa wapi vile?

Halafu tutaanza kusema urais wa Tanzania ni fursa ya watanganyika tutakuwa tunakosea Sana.
Nadhani wewe peke yako ndo hujafika sisi tunaoishi na kufanya kazi unguja tunayajua hayo siku nyingi. Kama huamini basi ila ukweli ndo huo. Nikupe mfano mmoja Zanzibar nzima mtu anayeruhusiwa kuingiza vinywaji vikali ni mmoja tu. Zanzibar uruhusiwi kuingia hata na ndizi mbivu kutoka bara, mbara ukifungua grocery utaambiwa ni nchi ya kiislam lakini pembeni yako kuna mzanzibar au mzungu anafanya biashara hiyo. Kila siku wanawaza fursa tuuu, wanzazibar walimu wanafundisha bara, wako wizara mbalimbali, wamenunua na kujenga kigamboni huko kama kwao. Mbara ukinunua kiwanja hapa unguja ujiandae kusumbuliwa kila uchao.
 
Kila siku wanawaza fursa tuuu, wanzazibar walimu wanafundisha bara, wako wizara mbalimbali, wamenunua na kujenga kigamboni huko kama kwao. Mbara ukinunua kiwanja hapa unguja ujiandae kusumbuliwa kila uchao.
Ni kweli unauosema. Niliwahi kufanya biashara ya kuuza matikiti 2017 hapo Mwanakwerekwe (wenyewe huita Kwerekwe) nilikuwa nimepanga Fuoni (kuna vijana wa bara wengi sana.

Nikawa nawauliza wenyeji wangu kwamba kwann hamnunui viwanja mkajenga badala ya kupanga. Wakasema ni marufuku na hairuhusiwi
 
katiba ya Zanzibar
Kanuni taratibu na sheria za SMZ ndio zimewafungia NJE YA KINACHOITWA ZANZIBAR watanzania bara aka watanganyika
Hawatambuliwi kwa lolote wala chochote sio wazanzibar ndio maana Mwakinyo kucheza pambano la dakika 30 tu mmejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua rasmi na ndani ya barua amebaguliwa kwa kuwa ni mtañzania bara aka mtanganyika hafai kucheza Zanzibar kwani ni fursa ya Wazanzibar peke yao
 
Turudi kwenye msingi wa muungano kila upande uheshimu mwenzie kama AJIRA ARDHI MADINI GESI MAFUTA na kila kitu sio maswala ya muungano iwe hivyo kwa kila upande
Tubakie muungano kwenye polisi ulinzi usalama nje na fedha pekee.
Kwingineko kila akale kwao
 
Sio kama ni kweli bali ndivyo ilivyo kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar
Kanuni taratibu na sheria za SMZ kupitia Baraza La Wawakilishi.
Mtanganyika huko Zanzibar ni FOREIGNER tu kama kutoka Kenya Burundi China Sweden Uganda Brazil Marekani
Kwa ufupi Mtanganyika hana haki hata moja Zanzibar
Zanzibar na kila kitu chake ni kwa Wazanzibar wao peke yao daima dumu
 
Mimi binafsi nikienda Zanzibar najiona nipo nchi ya ugenini ambayo mtanganyika hana thamani yeyote
Bora uende Kenya Congo Malawi Uganda Burundi Zambia kuna upendo kwa mtanganyika lakini huko Zanzibar unabaguliwa kwa kila kitu.
Katiba ya Zanzibar na KANUNI TARATIBU NA SHERIA ZA SMZ hakutambui lakini Mtaani unabaguliwa kila ukipita mbara huyo mchogo huyo kisha mtanganyika
Yaani Mwakinyo kwenda kucheza tu pambano moja na kujiondokea washajaa choyo HUSUDA NONGWA na kila kitu
Wakati wao wamejaa huku bara wanahamia kila kukicha wanachezq hadi Ndondo huko mitaani bila kubaguliwa na yeyote
 
Nini kifanyike katika kuweka hali ya usawa??? Turndelee kulalamika????

Ipo idara inayohusika na kutatua kero za Muungano na hivi karibuni kero kadhaa kupitia kwa Makamu wa Rais zimetatuliwa “bila shaka ni zile zinazolalamikiwa na Wazanzibari” je Bara tumewasilisha kero za Muungano kwa Ofisi ya Makamu wa Rais???
 
Turudi kwenye msingi wa muungano kila upande uheshimu mwenzie kama AJIRA ARDHI MADINI GESI MAFUTA na kila kitu sio maswala ya muungano iwe hivyo kwa kila upande
Tubakie muungano kwenye polisi ulinzi usalama nje na fedha pekee.
Kwingineko kila akale kwao
 
Mimi binafsi nikienda Zanzibar najiona nipo nchi ya ugenini ambayo mtanganyika hana thamani yeyote
Bora uende Kenya Congo Malawi Uganda Burundi Zambia kuna upendo kwa mtanganyika lakini huko Zanzibar unabaguliwa kwa kila kitu.
Katiba ya Zanzibar na KANUNI TARATIBU NA SHERIA ZA SMZ hakutambui lakini Mtaani unabaguliwa kila ukipita mbara huyo mchogo huyo kisha mtanganyika
Yaani Mwakinyo kwenda kucheza tu pambano moja na kujiondokea washajaa choyo HUSUDA NONGWA na kila kitu
Wakati wao wamejaa huku bara wanahamia kila kukicha wanachezq hadi Ndondo huko mitaani bila kubaguliwa na yeyote
wale jamaa wabaguzi sijapata kuona
 
Ukisikia kero za muungano kutatuliwa basi ujue ni zile kero za wazanzibari. Bora iwe kama southafrica tupeane kichapo.
 
Huyo Mwakinyo naye mbona naona kama analalamika ujinga, Sasa kama serikali zimekupa go head Hao wahuni Wanamshughulisha kitu gani?
 
Back
Top Bottom