Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

Inasikitisha sana, ka mkoa kanataka kuota mapembe na kutawala tanganyika. Huu muungano hauna faida yoyote kwa wa tanganyika..
 
Uwe unajifunza ktk muundo wa NDOA .

Mwanamke akiwa na cheti Cha NDOA, yote anavyoniliki mwanaume ni vya wote .

Lakini, anavyo miliki mwanamke vinabaki vyake binafsi.

NDOA ilishafungwa, na mbaya zaidi tumekwisha zaa na watoto😃😃😃
 
Wazanzibali wabaguzi sioni faida ya huu muungano
 
Tusifike huko tutakuwa tunakosea sana. Maana tunaweza kuanza kuuliza maswali ya hovyo kama:- huyu mama ni wa wapi vile?

Halafu tutaanza kusema urais wa Tanzania ni fursa ya watanganyika tutakuwa tunakosea Sana.
Wazanzibar wako sahihi. Sisi Watanganyika ndio Wapumbavu na tumezubaa. Hututhamini Utanganyika wetu. Muungano gani huu ambao upande mmoja una haki zaidi na Rasilimali zake kuliko mwingine???
 
Wazanzibar wako sahihi. Sisi Watanganyika ndio Wapumbavu na tumezubaa. Hututhamini Utanganyika wetu. Muungano gani huu ambao upande mmoja una haki zaidi na Rasilimali zake kuliko mwingine???
Kuna haja ya kuuvunja huu muungano uliyopo tuunde upya kwa vigezo na masharti mapya
 
Kwa nini asitumie Uwanja wa Tanga?Akaitangaza Tanga?Na kupata watu wa Tanga,fursa za kibiashara?
 
Hao Mabondia wa Zanzibar ni WA kuelimishwa tuu, hawajui.

Fursa hupewi, fursa inakuja kutokana na umahiri wako. Mwakinyo anapigania mkanda wa. WBC Super Wetler. Mkanda hautolelwi na Serikali, Wala hauji kwa kupewa, ni kwa kufuzu na kufikia kiwango Cha kimataifa. Haiwezi kuwa fursa Yao WaZanzibari kama hawajafikia viwango vya Kimataifa.

Mwenye akili atampongeza Mwakinyo kwa kuwaletea pambano la kimataifa ambalo linaitangaza Zanzibar kama Boxing destination. Pia linaleta uchumi. Wageni wengi, matangazo ya Zanzibar, utalii, na wao kama wenyeji kujifunza namna ya kutayarisha mapambano ya Kimataifa.

Nadhani tatizo kubwa ni uelewa tu wa mambo.
 
Nyerere alifanya mengi mazuri ila kweny hili la zanzibar kuwa nchi ni uongo.Ilitakiwa iwe mkoa kama katavi n.k au kisiwa kama ukerewe. Sijui wazanzibar wana akili ipi
 
Wanajikuta wamoroco au kwani tulio wafungia ni sie si baba Yao karume
 
Ka nchi sijui kisiwa kana laana kale watu hawataki fanya kazi
 
Huu muungano ni wa kuwasaidia watu wa Zanzibar kupata 30% ya ajira zote za serikali ya JMT na kununua ardhi bara kadri watakavyo.
Wananunua ardhi bara na wakati huo huo wanataka kuuvunja Muungano? Huo Muungano ukivunjika si itakula kwao, hiyo ardhi wataihamishaje kwenda kwao?
 
Wananunua ardhi bara na wakati huo huo wanataka kuuvunja Muungano? Huo Muungano ukivunjika si itakula kwao, hiyo ardhi wataihamishaje kwenda kwao?
Itabaki kuwa yao. Kwani yule mwekezaji ameshikilia ndege yetu huko Uholanzi kwa mashamba ya miwa Bagamoyo amewezaje? Hii nchi ukiwa na hela kila kitu kinawezekana
 
Kuna haja ya kuuvunja huu muungano uliyopo tuunde upya kwa vigezo na masharti mapya
Tukishauvunja tuunde upya KWA LIPI ?

Watanganyika hamjifunzi ?????

Zanzibar kuna nini cha kuinufaisha Tanganyika kwa akili zako wewe ?????

KWA NINI tujiingize tena kwenye li complication la Muungano mpya ?????

Think !
 
Muungano unasaidia kuongeza idadi ya watu. Watu ni soko. Watu wengi maana yake soko kubwa la bidhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…