Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
Hapo ndio wanafeli sana na pengine kwa kufanya kazi huku kuna siku itakuja kufutwaTofauti ya Diploma na degree
1. Salary
2. Skills
Sasa mtu kama kaona anaweza kuomba kazi inayotaka Diploma kwanini asiruhusiwe si maamuzi yake??.
Mfano Dereva wa Bus umkataze asiendeshe IST, utumishi wanafeli sana hapa.
Diploma ni elimu ya chini kwa degree hivyo mwenye degree ana uwezo mkubwa kiufanisi na kiutendaji. Ndio maana nimesema Kama kuna sheria au utaratibu uangaliwe ili kupata watu wenye ufanisi makazini.Ni sheria za kazi ndo zinawaelekeza hivyo na malipo kulingana na elimu ulio nayo
sasa Je zikitokea Ajira za wenye Degree mwenye Diploma ataweza kuomba hiyo Ajira ?Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi.
Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu unaouzuia jambo hilo ili vipaji vya wenye "degree" vitumike mahali popote
Mwenye diploma ana degree mpaka afanye maombi ya kazi inayomfaa mwenye degree? Lakini mwenye degree anaweza kufanya ya mwenye diploma kwa sababu diploma ni kiwango cha chini Cha elimu kuliko Diploma.sasa Je zikitokea Ajira za wenye Degree mwenye Diploma ataweza kuomba hiyo Ajira ?
mfumo naona Upo sawa shida inakuja kwa wewe mlengwa anapokoswa na Vigezo vya msingi.
hata Recruitment portal za majeshi , kuna space kwa Ajili ya form 4 , Certificate , Diploma , and Degree.
" "The world is not flat but spiky and that creates many opportunities to everyone"
Haya ndio ya kufanyika ,Kama Taifa hatutakiwi kuonyesha huruma kwenye eneo hili. Hapo wameangalia usawa lakini lazima tuangalie zaidi ufanisiAu unakuta Kuna ajira ya certificate ila kwa kuwa mtu uliunga hadi degree ,basi qualifications ya certificate uwezi apply wakati ume attach certificate,dip and bachelor Ila wao Wana consider elimu ya bachelor tu ,dip.au certificate uliyo attach uwezi ku apply ,wabadilishe mfumo.kwa kweli kwa mtu alieanzia certificate hadi degree
Kwa hiyo unataka kusema Elimu ya diploma ipo juu kuliko degree na kwenye soko la ajira aangaliwe mwenye diploma zaidi? Hii ndio nchi yangunimesoma Diploma, na nimesoma Degree ya Uhandisi
hii ndiyo tofauti niliyoiona, na najibu kwa upande wa kada yangu
wa Diploma yuko ki hands-on, amesomea praki (na theories) miaka yote X
wa Degree hawezi kava nafasi ya Diploma, maana yeye kule amekunywa theories tupu (tena zisizo na uhalisia kabisa kwenye mazingira ya kazi) , hata wire wa 2.5mm² hajui unafananaje
mwenye diploma ndiyo mzalishajiKwa hiyo unataka kusema Elimu ya diploma ipo juu kuliko degree na kwenye soko la ajira aangaliwe mwenye diploma zaidi? Hii ndio nchi yangu
Wewe unaona ni sawa?Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi.
Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu unaouzuia jambo hilo ili vipaji vya wenye "degree" vitumike mahali popote
Na kujidai dai wakati hakuna anachojua zaidi ya design ya makaratasinimesoma Diploma, na nimesoma Degree ya Uhandisi
hii ndiyo tofauti niliyoiona, na najibu kwa upande wa kada yangu
wa Diploma yuko ki hands-on, amesomea praki (na theories) miaka yote X
wa Degree hawezi kava nafasi ya Diploma, maana yeye kule amekunywa theories tupu (tena zisizo na uhalisia kabisa kwenye mazingira ya kazi) , hata wire wa 2.5mm² hajui unafananaje
Na kujidai dai wakati hakuna anachojua zaidi ya design ya makaratasi
Degree ni Managerial level wanaowasimamia hao wa Diploma na Certificate.Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi.
Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu unaouzuia jambo hilo ili vipaji vya wenye "degree" vitumike mahali popote
Nani kakudanganya kuwa wenye degree wanaleta ufanisi mzuri zaidi?kwani kinacho leta ufanisi ni degree au ni hulka ya uwajibikaji aliyo nayo mtu? Usikalili mzee hizo PhD , Masters, degree ,diploma arrogances zinasumbua sana na kukwambisha hili taifa kwa miongo mingi sana matokeo yake nchi imejaza mavyetiKuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi.
Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu unaouzuia jambo hilo ili vipaji vya wenye "degree" vitumike mahali popote
Sijasema wote wawe ni degree ila mchakato uruhusu hata wenye degree kufanya application.Degree ni Managerial level wanaowasimamia hao wa Diploma na Certificate.
Sasa ukiajiri woooote wa Degree hao wa Diploma (ambao ni wengi) watasimamiwa na wataajiriwa na nani???
Kama una degree pambana na degree yako vinginevyo irudishe chuoni wakubadilishie wakupe DIPLOMA.