Kingfish23
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 490
- 485
Naona shida watu hawajui kuwa Serikalini Seniority ndio mfumo Ofisi inatakiwa na watumishi wa certificate, Diploma,Degree, masters na PhD ni sifa za ziada na haziongezi daraja la mshahara labda mtumishi apate cheti cha Bodi za kitaaluma kama Law school,NBAA,na zingineUtakubali mshahara wa Diploma ukishaingia, huku ukiona mwenye digrii kama wewe kakupita 250k?