polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Wewe umefanyia utafiti wako kwenye kada ya ufundi, mimi nimefanyia utafiti wangu kwenye ELIMU kwa ngazi zote nimepita diploma na nimepita pia degree na nilicho kiona kwa ushahidi kabisa ni kwambamwenye diploma ndiyo mzalishaji
nenda kiwanda chochote, angalia idadi ya wenye diploma mathalan, sekta ya uhandisi
unakuta mafundi ni 10 (diploma), engineer 1(degree) ambaye anajaza/saini logbook tu
theories kajaza ujinga ujinga wa electromagnetism , lakini kiwandani anakutana na PLCs, hata kuiprogram hajui
walimu wengi wa diploma ndio wanao fanya vizuri zaidi kwenye ufundishaji na wanaeleweka vizuri na wanafunzi kuliko walimu wa shahada na hasa wale walimu walio toka form six moja kwa moja chuo kwakweli mwengi ni weupe sana sana hata kwenye student management ni zero kabisa.