Mabosi hutumia akaunti za benki za watu binafsi, wazabuni na wakandarasi kuchota pesa za Serikali. Serikali imulike taasisi ambazo CAG hana ubavu nazo

Mabosi hutumia akaunti za benki za watu binafsi, wazabuni na wakandarasi kuchota pesa za Serikali. Serikali imulike taasisi ambazo CAG hana ubavu nazo

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari!

Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct.

Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva.

Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma kupitia akaunti za watu binafsi, wazabuni na wakandarasi wanaopewa vikandarasi katika idara na ofisi zao.

Sasa CAG aongezewe meno kuweza kuingia kila Ofisi ya umma.
 
Pigania Katiba mpya kwanza,
Majibu na suluhisho la KERO yako hii itapatikana mle ndani.

Katiba hii tulonayo
Ndo inatoa mianya hiyo unayolalamikia sasa, Na mianya Hii inawanufaisha zaidi wanasiasa hawa walioko madarakani.[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maboss kwa sasa wanajenga apartment tu kwa kutumia majina ya ndugu zao
 
Hilo lipo mwaka wa 60+ umegutuka Leo?
Wajinga ndiyo waliwao, hapo wanatulazimisha ukigoma mwenzako anapewa tenda, TRA wakija wanakuhesabia mapato plus hayo ya maboss, unaonekana umefanya biashara ya mamilioni, wanakukadiria mapato ya kufa mtu! Kumbe ni maboss Tu walikuwa wanapitisha hela huko!
Labda waache kuchungulia account!
 
Back
Top Bottom