wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta.
Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila faida ya laki 1 unaanza komgombeza na kelele, Brother / Sister punguza unoko huo !! cheza nae kwa akili win win situation
Fanya kufumba jicho tu ukijua anakupiga kiasi kidogo sana cha kwenye faida yako ila akizidisha mbane
Mimi ninajua kabisa kijana wa dukani huwa ananipiga kiasi flani kidogo sana, huwa namzuia asikizidishe lakini akiwa kwenye limits nafumba jicho tu,
Hawa vijana wenye vipaji vyao vya kuuza kuwapata huwa ni kama zali, sio wote wana huo uwezo, ukimfukuze kisa buku 5 kwenye faida ya laki waweza kuleta bomu wiki inapita kauza vitu viwili tu