hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 399
- 992
Ujuaji mwingiMkuu wengi wao wajuaji Sana..
Wakikuta standard seven basi hawataki kuelekezwa na hao jamaa (Dharau)
Sasa standard seven wao wanapiga Kazi tena high quality: Fika kazini on-time waelewa, standard seven Jambo alijui basi haoni aibu kuuliza...
GEN-z konyo kweli kweli
Ni kuwaondoa tu ili wajifunze,ila wakati wa kuwaondoa waelezwe makosa yaoBandiko zuri kiongozi ila ingepatikana na njia ya kuwasaidia.
.
Napenda bandua vibinti vyao, kuna kimoja nimekizimikia mpaka natani nimuambie wifeHawa watoto wa 2000 a.k.a Generation Z au Nzi whatever. Vitoto vina mambo ya hovyo sana hivi.
Ila kitu ambacho nimewaona kuwa wanacho sana ni kukosa communication skills.
Hawa watoto hawajui namna nzuri ya kuwasiliana au kuengage na watu wengi na wanajamii. Ila kwenye mambo ya kipumbavu wapo very active.
Kwa mfano, mchukue mtoto wa ndugu yako,mdogo wako,shemeji yako, au dogo yoyote ambaye ambaye amezaliwa ndani ya kizazi cha generation Z. Kaa nae kwako halafu tazama mwenendo wake.
Utagundua kwanza wanatabia mbaya sana ya kujitenga. Wakikutana wao kwa wao utadhani mashetani wanaelewana ila ukiwa nae labda wewe mzazi au mlezi wake, utaona vinatabia ya kukimbilia chumbani na kukaa huko hata siku nzima pekee yake au akiwa na takataka mwenzake wa generation Z.
Tabia mbaya sana kujitenga na wanajamii wengine ndio maana havina adabu maana hawana muda wa kujifunza kupitia waliowazidi umri ujuaji ni mwingi kupita kiasi kazi kujitenga. Na wakikosea ukiwasema wanajifanya depression walizaliwa nayo ng'ombe hawa kumbe ni viburi tupu.
Ukikaa nao utasikia "mimi ni introvert",matako yao pumbavu hawa watoto.
Siku zote Mwanzo huwa ni mgumu bro. Hata hao maboss walikuwa fresh graduates pia, na wao pia walikosea na kufundishwa. Wadogo zetu tunawapenda sana na tutawafundisha pindi wanapokosea.Wanahitaji kupigwa msasa na pia kujua majukumu yao
Siku hizi wengi hawasomi mikataba bali wanasaini tu
Yaliyoandikwa hawajui sasa watajua nini?
Kwanini boss aabudiwe?? Kwanini yeye ni Mungu??Gen Z wengi wao hataabudu maboss.
Shida inaanzia hapo
Watoto wa 2000 bado ni wachanga kazini. They should be handled with care.Mkuu wengi wao wajuaji Sana..
Wakikuta standard seven basi hawataki kuelekezwa na hao jamaa (Dharau)
Sasa standard seven wao wanapiga Kazi tena high quality: Fika kazini on-time waelewa, standard seven Jambo alijui basi haoni aibu kuuliza...
GEN-z konyo kweli kweli
Vyuoni na makazini pia "practically" kwa maana bado ni wadogo.Hawa watoto ni kama wakati umewafikia kabla ya muda..
Wanahitaji kupewa Elimu generally ya utumishi na ethics vyuoni kuokoa hili janga.
🤣🤣🤣 IntrovertHawa watoto wa 2000 a.k.a Generation Z au Nzi whatever. Vitoto vina mambo ya hovyo sana hivi.
Ila kitu ambacho nimewaona kuwa wanacho sana ni kukosa communication skills.
Hawa watoto hawajui namna nzuri ya kuwasiliana au kuengage na watu wengi na wanajamii. Ila kwenye mambo ya kipumbavu wapo very active.
Kwa mfano, mchukue mtoto wa ndugu yako,mdogo wako,shemeji yako, au dogo yoyote ambaye ambaye amezaliwa ndani ya kizazi cha generation Z. Kaa nae kwako halafu tazama mwenendo wake.
Utagundua kwanza wanatabia mbaya sana ya kujitenga. Wakikutana wao kwa wao utadhani mashetani wanaelewana ila ukiwa nae labda wewe mzazi au mlezi wake, utaona vinatabia ya kukimbilia chumbani na kukaa huko hata siku nzima pekee yake au akiwa na takataka mwenzake wa generation Z.
Tabia mbaya sana kujitenga na wanajamii wengine ndio maana havina adabu maana hawana muda wa kujifunza kupitia waliowazidi umri ujuaji ni mwingi kupita kiasi kazi kujitenga. Na wakikosea ukiwasema wanajifanya depression walizaliwa nayo ng'ombe hawa kumbe ni viburi tupu.
Ukikaa nao utasikia "mimi ni introvert",matako yao pumbavu hawa watoto.
....tena kwa lugha ya taratibu bila kuwafokea. Ni watoto wetu. Ni wadogo zetu. Tusiwatishe. Tuwapende.Duh aiseee inabidi wapewe semina kidogo ya maadili ya kazi
Tuwapende fresh graduates. Tusiwafokee bali tuwaelekeze kwa lugha za upendo.Hahaha sasa Gen z mmetoka shule juzi, huna experience ya kazi then unajuaje kama maboss wanaendesha ki local? Halafu hili neno local naona kama linatafsirika tofauti na wengi. Anyway, tuyaache hayo; binafsi pia sipendi sana kutumia au kutumiwa neno BOSS, ni kama kujipendekeza au kutafuta sifa tu. Anyway, tulitawaliwa na Uingereza, sawa tu na wana siasa, mtu hana heshima yoyote, haheshimiki lakini eti "mheshimiwa" stupid.
Mfikirie yule aliyemtumbukizia chupa ya soda yule dogo, mtu kama yule anakuaje mheshimiwa?