Mabosi waeleza kwanini wanawafukuza kazi Gen Z miezi michache baada ya kuajiriwa. Gen Z chukua notes

Shida imeanzia nyumbani, wazazi hawajafundisha vijana jinsi ya ku behave kazini. Kazini kwetu kuna kadada ilibidi wakatishe mkataba wake, yaani kalikuwa na ma excuse sio ya nchi hii. Kwenye kila wiki ana siku mbili haji kazini. Sio mgonjwa wala nini, vitu hata havieleweki. Dharau kama zote
 
Mkuu wengi wao wajuaji Sana..
Wakikuta standard seven basi hawataki kuelekezwa na hao jamaa (Dharau)

Sasa standard seven wao wanapiga Kazi tena high quality: Fika kazini on-time waelewa, standard seven Jambo alijui basi haoni aibu kuuliza...
GEN-z konyo kweli kweli
Ujuaji mwingi
 
Hawa watoto wa 2000 a.k.a Generation Z au Nzi whatever. Vitoto vina mambo ya hovyo sana hivi.

Ila kitu ambacho nimewaona kuwa wanacho sana ni kukosa communication skills.

Hawa watoto hawajui namna nzuri ya kuwasiliana au kuengage na watu wengi na wanajamii. Ila kwenye mambo ya kipumbavu wapo very active.

Kwa mfano, mchukue mtoto wa ndugu yako,mdogo wako,shemeji yako, au dogo yoyote ambaye ambaye amezaliwa ndani ya kizazi cha generation Z. Kaa nae kwako halafu tazama mwenendo wake.

Utagundua kwanza wanatabia mbaya sana ya kujitenga. Wakikutana wao kwa wao utadhani mashetani wanaelewana ila ukiwa nae labda wewe mzazi au mlezi wake, utaona vinatabia ya kukimbilia chumbani na kukaa huko hata siku nzima pekee yake au akiwa na takataka mwenzake wa generation Z.

Tabia mbaya sana kujitenga na wanajamii wengine ndio maana havina adabu maana hawana muda wa kujifunza kupitia waliowazidi umri ujuaji ni mwingi kupita kiasi kazi kujitenga. Na wakikosea ukiwasema wanajifanya depression walizaliwa nayo ng'ombe hawa kumbe ni viburi tupu.

Ukikaa nao utasikia "mimi ni introvert",matako yao pumbavu hawa watoto.
 
Kipengele cha seriousness wanapwaya sana vijana hawa kiasi cha kuamini kwamba hawajitambui.Ukitaka kumpima mpeleke kwenye mada fikirishi utamwona kapotea.Katika kada ya ualimu nilifanya kazi ya kuwafuatilia nikagundua kwamba mwalimu hajui anachofundisha watoto.Ukimwelekeza ni mjuaji lakini anavyofundisha havieleweki.Kwenye private schools hawadumu kwa sababu matokeo ya mtihani ndiyo mwajiri.Mtu wa mzaha hawezitoa matokeo makubwa.
 
Mbona mi sio Gen Z lakini hayo mambo ninayo
Yaani sijipendekezi kwa Boss au mtu yeyote, najitenga sinaga story za simba na yanga sijui pakome kafanyaje, Sina shobo nikikusalimia mara Moja usipoitikia hutokaa upate salamu yangu milele, wale wapenda sifa egoist ndo sinaga habari nao na wananichukia kinyama,
Ni kweli vitoto vya elfu 2 vina mapungufu yao ila mengine mnawasingizia
Sema wabongo mnapenda kusujudiwa mkiwa kwenye nyadhifa fulani niwakumbushe tu huo ni ushamba
 
Hawa watoto wa 2000 a.k.a Generation Z au Nzi whatever. Vitoto vina mambo ya hovyo sana hivi.

Ila kitu ambacho nimewaona kuwa wanacho sana ni kukosa communication skills.

Hawa watoto hawajui namna nzuri ya kuwasiliana au kuengage na watu wengi na wanajamii. Ila kwenye mambo ya kipumbavu wapo very active.

Kwa mfano, mchukue mtoto wa ndugu yako,mdogo wako,shemeji yako, au dogo yoyote ambaye ambaye amezaliwa ndani ya kizazi cha generation Z. Kaa nae kwako halafu tazama mwenendo wake.

Utagundua kwanza wanatabia mbaya sana ya kujitenga. Wakikutana wao kwa wao utadhani mashetani wanaelewana ila ukiwa nae labda wewe mzazi au mlezi wake, utaona vinatabia ya kukimbilia chumbani na kukaa huko hata siku nzima pekee yake au akiwa na takataka mwenzake wa generation Z.

Tabia mbaya sana kujitenga na wanajamii wengine ndio maana havina adabu maana hawana muda wa kujifunza kupitia waliowazidi umri ujuaji ni mwingi kupita kiasi kazi kujitenga. Na wakikosea ukiwasema wanajifanya depression walizaliwa nayo ng'ombe hawa kumbe ni viburi tupu.

Ukikaa nao utasikia "mimi ni introvert",matako yao pumbavu hawa watoto.
Napenda bandua vibinti vyao, kuna kimoja nimekizimikia mpaka natani nimuambie wife
 
Wanahitaji kupigwa msasa na pia kujua majukumu yao
Siku hizi wengi hawasomi mikataba bali wanasaini tu
Yaliyoandikwa hawajui sasa watajua nini?
Siku zote Mwanzo huwa ni mgumu bro. Hata hao maboss walikuwa fresh graduates pia, na wao pia walikosea na kufundishwa. Wadogo zetu tunawapenda sana na tutawafundisha pindi wanapokosea.
 
Mkuu wengi wao wajuaji Sana..
Wakikuta standard seven basi hawataki kuelekezwa na hao jamaa (Dharau)

Sasa standard seven wao wanapiga Kazi tena high quality: Fika kazini on-time waelewa, standard seven Jambo alijui basi haoni aibu kuuliza...
GEN-z konyo kweli kweli
Watoto wa 2000 bado ni wachanga kazini. They should be handled with care.
 
Hawa watoto wa 2000 a.k.a Generation Z au Nzi whatever. Vitoto vina mambo ya hovyo sana hivi.

Ila kitu ambacho nimewaona kuwa wanacho sana ni kukosa communication skills.

Hawa watoto hawajui namna nzuri ya kuwasiliana au kuengage na watu wengi na wanajamii. Ila kwenye mambo ya kipumbavu wapo very active.

Kwa mfano, mchukue mtoto wa ndugu yako,mdogo wako,shemeji yako, au dogo yoyote ambaye ambaye amezaliwa ndani ya kizazi cha generation Z. Kaa nae kwako halafu tazama mwenendo wake.

Utagundua kwanza wanatabia mbaya sana ya kujitenga. Wakikutana wao kwa wao utadhani mashetani wanaelewana ila ukiwa nae labda wewe mzazi au mlezi wake, utaona vinatabia ya kukimbilia chumbani na kukaa huko hata siku nzima pekee yake au akiwa na takataka mwenzake wa generation Z.

Tabia mbaya sana kujitenga na wanajamii wengine ndio maana havina adabu maana hawana muda wa kujifunza kupitia waliowazidi umri ujuaji ni mwingi kupita kiasi kazi kujitenga. Na wakikosea ukiwasema wanajifanya depression walizaliwa nayo ng'ombe hawa kumbe ni viburi tupu.

Ukikaa nao utasikia "mimi ni introvert",matako yao pumbavu hawa watoto.
🤣🤣🤣 Introvert
 
Hahaha sasa Gen z mmetoka shule juzi, huna experience ya kazi then unajuaje kama maboss wanaendesha ki local? Halafu hili neno local naona kama linatafsirika tofauti na wengi. Anyway, tuyaache hayo; binafsi pia sipendi sana kutumia au kutumiwa neno BOSS, ni kama kujipendekeza au kutafuta sifa tu. Anyway, tulitawaliwa na Uingereza, sawa tu na wana siasa, mtu hana heshima yoyote, haheshimiki lakini eti "mheshimiwa" stupid.
Mfikirie yule aliyemtumbukizia chupa ya soda yule dogo, mtu kama yule anakuaje mheshimiwa?
Tuwapende fresh graduates. Tusiwafokee bali tuwaelekeze kwa lugha za upendo.
 
Back
Top Bottom