Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
Ni hatari sana😀😀😀
Ccm inaogopeka sana
Sijui hata.Kwa hyo pole pole atakuja kukanusha kuwa barua SI yake n matapeli wachachee wanataka kumgombanisha na mama yakee🤔🤔🤔🤔
Ila CCM Wanatuona km matakooo Yao..
Naam.Msigwa ameshakuwa Mhariri wa media zote Tanganyika..Udikteta UCHWARA
Hii mwamba kathibitisha. Maboss hawataki.Kuna taratibu za kuzingatia huwezi kuokota tu Habari mitandaoni ukairusha kwa Umma 🐼
Ohooo.Wamepigwa biti wahariri wote wasitoe habari kesho
Hahahaaa, kabisa.Hapo ni sawa na kutembea uchi huku umefumba macho ukidhani hakuna anaekuona.
Angalia inavyotrend hapa JF. Kwakifupi ndio habari ya leo.Hahaha kwani nayo ni habari?
Muitoe wapi sasa?