Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,350
- 11,727
Yeah wameirusha na ndiyo ya kwanza.Wameirusha? Maana sijaicheki
Baruani wa Uhai FM anagombea ubunge wa CCM kigoma ,hii media haina tofauti na TbccmWakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
OkayBaruani wa Uhai FM anagombea ubunge wa CCM kigoma ,hii media haina tofauti na Tbccm
Mkuu unatumia ID gani.? Huku wameanza kulibagaza moja takatifu la mitume.Kuna taratibu za kuzingatia huwezi kuokota tu Habari mitandaoni ukairusha kwa Umma 🐼