Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
Mbadala toeni kwa fujo habari ya simba wa kwenye cage ya kizimkazi aliye hamishiwa gereza la binadamu ukonga.Hiyo maboss wenu hawataizuia.Halafu mtanishukuru baadaye.Na mtatengeneza kipato kizuri kwa taasisi yenu.
 
Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
Kila anayemlipa mpiga ZUMARI ndiyo anayechagua Wimbo
Ccm wameua kabisa mainstream media's
Tulifika mbali kidogo. Yule magufuli yule? Au basi
 
Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
Hicho ndo mnaweza watz unafiki nahisi ukipewa kaz unaendana na policy ya mwajiri wako kama unaona shida unaacha kaz hyo ukaungane na mama yako kufanya vitumbua
 
Back
Top Bottom