October 2025 INABIDI WAIBE KURA NYINGI SANA! AMA SIVYO ITAKUWA AIBU!
Uandishi wenu wa habari ni matako sana! Wewe umejiridhisha vipi kwamba hiyo barua ni ya HHP? Umempigia simu kujua ukweli au unataka kuirusha tu?Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
Kwa hiyo ni Mpango jumuishi wa kumtetea Dada yake Paskali na yeye awatete katika biashara zao. Ni mwendo wa nikune mgongo wangu na wewe nikukune wakoWakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
Hatari sana.Habari ipo mpaka BBC kwa nini baadhi ya media za ndani ya nchi zinaona ukakasi kutangaza habari hii?
Kwa taarifa yako, media house zina mawasiliano binafsi ya watu mashuhuri hivyo kuthibitisha ukweli wa habari ni jambo la dakika chache tu.Uandishi wenu wa habari ni matako sana! Wewe umejiridhisha vipi kwamba hiyo barua ni ya HHP? Umempigia simu kujua ukweli au unataka kuirusha tu?
Wewe haupendi kuwa kwenye side inayoogopeka ?😀😀😀
Ccm inaogopeka sana
Sasa kama mmejiridhisha na mwenyewe amewahakikishia kwamba ametender barua yake, mwulizeni huyo boss kwa nini anawazuia?Kwa taarifa yako, media house zina mawasiliano binafsi ya watu mashuhuri hivyo kuthibitisha ukweli wa habari ni jambo la dakika chache tu.
kwasasababu ni nonsense,Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
Dah!sasa hivi wanamkimbiza Sloslow huko aliko kakiuka utaratibu, inatafutwa njia ya kupozea, ndio hicho mkionacho, swali atafunga mdomo arejee home kimya kimya? Kama watakavyo
Watake wasitake ndo imeshakuwa tayariWakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
Sawa.Watake wasitake ndo imeshakuwa tayari
Uko nchi gani?Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.
Sio chama cha siasa kwa mantiki hii😀😀😀
Ccm inaogopeka sana
Kweli sie matako yao...wanayachapa watakavyo na kuangalia jinsi tunavyo vibrate 🤣🤣🤣🤣Kwa hyo pole pole atakuja kukanusha kuwa barua SI yake n matapeli wachachee wanataka kumgombanisha na mama yakee🤔🤔🤔🤔
Ila CCM Wanatuona km matakooo Yao..
Wanaficha aibu mkuu.Smartphone zilivyojaa wanaficha nini
Acha porojo na kupiga ramri Azam wameonyesha habari ya Polepole.Wakuu kunazidi kuchanganya. Habari hiyo huenda leo isitoke kwenye media zetu pendwa wakati ndio habari ya siku.