Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

sasa hivi wanamkimbiza Sloslow huko aliko kakiuka utaratibu, inatafutwa njia ya kupozea, ndio hicho mkionacho, swali atafunga mdomo arejee home kimya kimya? Kama watakavyo
Kama ameshindwa kunyamazishwa na ubalozi nini kitamnyamazisha?
 
Akili za mbuni, kuficha kichwa na kuacha makalio nje na kuamini yupo salama.

Line Up inaanza kusomeka sasa;

1. Humphrey Polepole
2. Luhanga Mpina
3. Josephat Gwajima
4. Who is next?
Majaliwa
 
Kama ni kweli basi hamna kitu hapo Azam, pamoja na mijigambo ya kuzindua basi la matangazo wkt kutoa habari mnaminywa ni hamna kitu hapo.
 
Back
Top Bottom