Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

kikubwa usiogpe kuoa ila tambua kuoa sio raha tu kuna changamoto zake kila mtu kwenye ndoa aktimiza wajbu wake changamoto utazskia kwa jiran japo kasori ndgondgo hazkos

TAMBUA KUOA NI SAWA NA KUFUTA NYIMBO ZOTE KWENYE SIM UNABAK NA WIMBO MMOJA TU, RINGTONE HUO HUO, BRUESS, SINGEL HUO, HIPHOP HUO HUO SO INAHTAJ MOYO UKIWEZA KUUSKLZA WIMBO MMOJA KWA MIEZ 6 NDOA HAITAKSMBUA

But tambua ndoa mnatengeneza wte mkiwa na kasolo zake so inahtaj uvumilvu
 
Mke anachaguliwa kwa kutanguliza akili zako kisha hisia zako usiache chochote hapo
 
Jiulize kwanza lengo la ndoa ni nini?

Wengine wanasema lengo la ndoa ni Kuzaa watoto? Wengine husema ndoa ni kasumba tu tulioikuta duniani,hivyo nasi hufuata hiyo kasumba

Je wew wasemaje ?
 
BIG SECRETS IN MARRIAGE!*
Secret 1 Everyone you marry has a weakness. Only God does not have a weakness. So if you focus on your spouse's weakness you can't get the best out of his strength.
Secret 2 Everyone has a dark history. No one is an angel. When you get married or you want to get married stop digging into someone's past. What matters most is the present life of your partner. Old things have passed away. Forgive and forget. Focus on the present and the future.
Secret 3 Every marriage has its own challenges. Marriage is not a bed of roses. Every good marriage has gone through its own test of blazing fire. True love proves in times of challenges. Fight for your marriage. Make up your mind to stay with your spouse in times of need. Remember the vow For better for worse. In sickness and in health be there.
Secret 4 Every marriage has different levels of success. Don't compare your marriage with any one else. We can never be equal. Some will be far, some behind. To avoid marriage stresses, be patient, work hard and with time your marriage dreams shall come true. Secret 5 To get married is declaring war. When you get married you must declare war against enemies of marriage. Some enemies of marriage are: Ignorance Prayerlessness Unforgiveness Third party influence Stinginess Stubbornness Lack of love Rudeness Laziness Disrespect Cheating Be ready to fight to maintain your marriage zone.
Secret 6 There is no perfect marriage. There is no ready made marriage. Marriage is hard work. Volunteer yourself to work daily on it. Marriage is like a car that needs proper maintenance and proper service. If this is not done it will break down somewhere exposing the owner to danger or some unhealthy circumstances. Let us not be careless about our marriages.
Secret 7 God cannot give you a complete person you desire. He gives you the person in the form of raw materials in order for you to mould the person that you desire. This can only be achieved through prayer, love and Patience
Secret 8 Getting married is taking a huge risk. You can not predict what will happen in the future. Situations may change so leave room for adjustments. Husband can lose his good job or you may fail to have babies. All these require you to be prayerful otherwise you might divorce.
Secret 9 Marriage is not a contract. It is permanent. It needs total commitment. Love is the glue that sticks the couple together. Divorce start in the mind and the devil feeds the mind. Never ever entertain thoughts of getting a divorce. Never threaten your spouse with divorce. Choose to remain married. God hates divorce.
Secret 10 Every marriage has a price to pay. Marriage is like a bank account. It is the money that you deposit that you withdraw. If you don't deposit love, peace and care into your marriage, you are not a candidate for a blissful home. So today let us pray for our marriages. Send to those you care about because you never know who you may be helping. May God bless you all.
 
Mwanamke wa kuoa.

1: Usimpende ila awe na vigezo vya kuwa mke ukitaka kuishi kwa raha mustarehe na hakikisha yeye ndio anakupenda na anauchungu na hiyo ndoa kuzidi wewe.

2: Mwanamke ni wa jumuiya hivyo hakikisha atakuwa balozi mzuri kwa wazazi wako na marafiki wako bila kusahau wanao yaani atakuwakirisha vyema. Achana na hawa matakataka wanao sema mke ni wakwako sijui usisikilize ya watu .... brother maisha Ni safari ndefu Kuna sehemu hutafika ukiwa na mke kero kwa watu, mwanamke Malaya , mwanke mwizi nk...... Nakwambia Tena mwanamke wa jumuiya ndio maana yakiwashinda ndani mnaanza kuita washenga,wazazi sijui wachungaji waje wawasuruishe Kama Ni wako kwa Nini usimsuruhishe mwenyewe, ndio maana wahenga walifupisha tu walikuambia mwanamke Ni tabia njema.

3: Mwanamke anae fiti viatu vyako

4: Awe mchakalikaji wa wastani
5:Awe anajua kwenye ndoa kafuata Nini.
6.....
7........
8......
9.....
10:......Awe mlevi kupindukia[emoji41]
***** wre uko ndoani
 
  • Oa pale utakapojiskia ushakula ujana vya kutosha,
  • Umri mzuri ni kuanzia miaka 33, wakati huo mwanamke umpite kuanzia miaka 6 na kuendelea (maana unaweza kumchoka mapema ukimuona anazeeka)
  • Hakikisha mwanamke unaempata unaenda nae kufanya vipimo vya uzazi ili kujua kama kunamatatizo ya uvimbe au ugumba ili mtatue matatizo mapema kabla hamjaanza kufyatua watoto,
  • Ukishaoa usiwe na muda maalum wa kurudi nyumbani (Usisomeke mpaka ratiba yako ikajulikana), maana inaweza kutokea dharula ukachelewa kurud nyumbani, ukirudi utakuta unasubiriwa utoe maelezo.
  • Mshahara kila mtu abaki na wa kwake ila muwe na bajeti ya pamoja kila mwisho wa mwezi kwa ajili ya matumiz mbalimbali.
  • Nyumba jengeni kwa pesa ya kuchanga pamoja, na majina ya umiliki wekeni ya pamoja itaonyesha upendo zaid.( Hata ukiweka la kwako au la kwake mkiachana mtagawana mali mlizochuma mkiwa pamoja)
  • Kama mnafanya kazi maeneo tofauti sana na mnarud nyumbani mda tofaut basi nunueni magari mawili.
Deep sana hii..
 
Mwanamke wa kuoa.

1: Usimpende ila awe na vigezo vya kuwa mke ukitaka kuishi kwa raha mustarehe na hakikisha yeye ndio anakupenda na anauchungu na hiyo ndoa kuzidi wewe.

2: Mwanamke ni wa jumuiya hivyo hakikisha atakuwa balozi mzuri kwa wazazi wako na marafiki wako bila kusahau wanao yaani atakuwakirisha vyema. Achana na hawa matakataka wanao sema mke ni wakwako sijui usisikilize ya watu .... brother maisha Ni safari ndefu Kuna sehemu hutafika ukiwa na mke kero kwa watu, mwanamke Malaya , mwanke mwizi nk...... Nakwambia Tena mwanamke wa jumuiya ndio maana yakiwashinda ndani mnaanza kuita washenga,wazazi sijui wachungaji waje wawasuruishe Kama Ni wako kwa Nini usimsuruhishe mwenyewe, ndio maana wahenga walifupisha tu walikuambia mwanamke Ni tabia njema.

3: Mwanamke anae fiti viatu vyako

4: Awe mchakalikaji wa wastani
5:Awe anajua kwenye ndoa kafuata Nini.
6.....
7........
8......
9.....
10:......Awe mlevi kupindukia[emoji41]
Hiyo point no.1 kwangu ni ngumu sana...! Huwa siwezi kukaa/kuishi au kujenga urafiki na mtu nisiyemkubali/mpenda..! Hongereni kwenu wote mnaoweza hili
 
Back
Top Bottom