Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

Hawa wapo kaka shida kama utatafuta mke ukiwa umemchora kichwani kwamba awe figure namba nane guu guu tako tako hutakaa umpate.

Mimi huwa nashauri...Mtu akitaka life partner ashirikishe akili na utulivu na sio hisia na matamanio pia awe focused na kizazi chake,sio rahisi mke uliyemkuta club au bar akakutunzia kizazi chako kama inavyotakikana na club au bar hukuti bikra hawa wapo kwenye jamii inayokuzunguka.
Hapa nimekuelewa 100
 
Wakuu habari.

Moja kwa Moja kwenye mada.

Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni?

Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara na mke, kujenga nyumba na kuandika majina yenu wote, kuchanga na kununua gari, kurudi home mapema au kuchelewa n.k.

Ata ushahuri mdogo unaweza kua na msaada kwangu au kijana mwingine mwenye malengo kama yangu.

Natanguliza shukrani.

Sisi tulio oa,tunakwambia hivi,kama una uwezo wa kumuingilia mwanamke na siyo Khanithi na unaweza kumtunza,yaani kumlisha,kumvisha basi OA katika yule unayempenda na aliye kuridhia.

Mimi nipo kwenye mchakato wa kuongeza mke wa tatu.
 
Hongera mkuu. Mimi dini inakataza kuwa na mke zaidi ya mmoja na ndomaana michepuko kwa wakristo haiishi.
 
dada zako waliolewa wakiwa mabikira au mama yako??? na je una hakika kwa jibu unalotarajia kunijibu???...pia kwa yeyote yule aloandika pia must bikira ajiulize na aje ajibu hilo hapa...
Kwani kwa kuwa mama yako na dada yako waliolewa wakiwa walisha sasambuliwa mbususu ina maana kwamba nawe oue asie bikra au usithamini umuhimu wa mwanamke kuwa bikra.

Kosa ni kosa tuu ata kama limefanywa na dada au mama yako. Kama waligegedwa kabla ya ndoa basi walizini. Kama mdingi aliingia chaka akaoa mama yako pasipo mama yako kuwa bikra hayo ni maamuzi yake. Lakini haimaanishi kuwa uthamani wa bikra unashuka eti kisa mwanamke asie bikra aliyemuoa baba yangu ni mama yangu.
 
MOJA,MSHIRIKISHE MUNGU KWENYE JAMBO LAKO HAKIKA ATAKUPA MWENZA WA KUKUFAA.
PILI,MKE NI,MPENZI,MFARIJI, RAFIKI,NDUGU,MTUMWA,BOSI,MWALIMU,MWANAFUNZI HIVYO KUMSHIRIKISHA NIMUHIMU KM UNAVYOWASHIRIKISHA HAO WENGINE NILIVYOWATAJA.
GARI LAKO SAWA ILA KM KITU CHA FAMILIA NI VEMA ILI UWEZE KUPATA MAWAZO NA YEYE KUONA ANA THAMANI KTK MAAAMUZI YA FAMILIA UKUMBUKE HUTAPANDA PEKE YAKO NA PIA HUTALITUNZA PEKE YAKO …USIPOMSHIRIKISHA JITOSHELEZE KWA KILA KITU KWENYE HILO GARI NA VINGINE,LENGO NI KUHAKIKISHA MALIZAKO AU ZENU ZINADUMU DAIMA NA ZINAKUWA CHANZO CHA MAENDELEO BADALA YA MIGOGORO,VISASI CHUKI,UBINAFSI .
EPUKA KUMSONONESHA,MWONGOZE,MFARIJI,MTIE IMANI,MFUNDISHE MPE HITAJI LA MWILI NA MOYO NA MWISHO MTETEE NA KUMPENDA.

LA MWISHO KILA KITU KWA KIASI MACHO MAWILI YANAONA NA YANACHAGUA NALO NI JEMA ILA CHAGUA KWA JICHO LA TATU FIKIRIA KESHO FIKIRIA NJE YA BOX .
 
  • Oa pale utakapojiskia ushakula ujana vya kutosha,
  • Umri mzuri ni kuanzia miaka 33, wakati huo mwanamke umpite kuanzia miaka 6 na kuendelea (maana unaweza kumchoka mapema ukimuona anazeeka)
  • Hakikisha mwanamke unaempata unaenda nae kufanya vipimo vya uzazi ili kujua kama kunamatatizo ya uvimbe au ugumba ili mtatue matatizo mapema kabla hamjaanza kufyatua watoto,
  • Ukishaoa usiwe na muda maalum wa kurudi nyumbani (Usisomeke mpaka ratiba yako ikajulikana), maana inaweza kutokea dharula ukachelewa kurud nyumbani, ukirudi utakuta unasubiriwa utoe maelezo.
  • Mshahara kila mtu abaki na wa kwake ila muwe na bajeti ya pamoja kila mwisho wa mwezi kwa ajili ya matumiz mbalimbali.
  • Nyumba jengeni kwa pesa ya kuchanga pamoja, na majina ya umiliki wekeni ya pamoja itaonyesha upendo zaid.( Hata ukiweka la kwako au la kwake mkiachana mtagawana mali mlizochuma mkiwa pamoja)
  • Kama mnafanya kazi maeneo tofauti sana na mnarud nyumbani mda tofaut basi nunueni magari mawili.
 
Huu uzi ni wa wanaume wewe mwanamke umefuata nini hapa,acha wanaume tushauriane wewe kama bikra huna jua lako kwa wanaume wenye akili limeisha subiri mwanaume aliyefiwa na mke aje kukufariji nje ya hapo subiri kuzeekea kwenu.

Tunaomini ktk kuowa bikra hata mama zetu waliolewa wakiwa nazo ndo maana bado tunatembea na spirit za baba zetu kuchagua bikra huwezi kudai bikra kama baba yako hakulizingatia hilo alipokuwa anakutafutia mama yako.

Masuala ya dada zetu usituulize kawaulize waliowaowa.
Mkuu nae ongea hapa ni mwanaume tena naweza kuwa mwanaume zaidi ya baba yako alokuzaa.. sikiliza ukijua nini maana ya mwanamke utajua kwamba si tu maumbile yake bali ni akili yake na kizazi chako.. hivyo bikira yaweza kuwa alitolewa hata hajajitambua .. na hata uoe bikira utamtoa atakuwa kama huyo mwingine.. zingatia ubora wa akili yake pia walau awe presentable and all that bikira sio kitu muhimu awe disciplined one . .
 
Kwa style hiyo ntachovya kila mahali sasa [emoji119][emoji119]
Mkuu tuelewane,wapo mabinti huwa hawataki mambo ya kihuni (naita uhuni maana ndo wanavyoamini wao) mf;ukutane na bint leo kesho umwambie njoo ghetto moja kwa moja atakuona muhuni,cha kufanya target windo moja na immediately mtamkie suala la ndoa baada ya muda ndo uanze usumbufu huo ukiona anakataa kataa uliza sababu akikujibu kazia swali yupo sealed?maana lengo lako ni kumuowa kama yupo sealed muahidi utasubiri hadi ndoa.

Akisema ndiyo unakaa hata miezi nane mnafanya mawasiliano ya kawaida yale ya wapenzi kisha unamwambia nataka nianze taratibu za kutambulishana ila nataka kwanza ni-comfrim kweli upo hivyo maana lengo langu ni kukuowa atatia tena ugumu unampa sharti kwamba nitakuja kwenu kwanza kujitambulisha kabla ya kwetu ila kwetu ni mpaka utakaponihakikishia upo salama kama hana bikra utauona uelekeo wake mapema anaanza kusita sita kuogopa aibu kwa ndugu zake/ukiona anasita jua hamna kitu.

Hii trick jamaa yangu mmoja aliitumia amepata mzinga wa asali asipopategemea ila ombi;kama huna mpango na mtoto wa mtu muache iwe zawadi kwa mwanaume mwengine usimuharibu ikiwa amekukubalia umkague onyesha uanaume wako kagua mwambie avae nguo zake aondoke hiyo kazi utaifanya siku ya ndoa.

Hudhuria sana ibada kulingana na imani yako huko angalia wale ambao nao wanahudhuria sana ambao wapo aged 18/23 ktk wa4 hukosi,kumbuka kumtamkia ndoa mapema ili ajipe guarantee ya mahusiano yenu.

Hints hizo katumie,ila usiwe chombo cha kuharibu watoto wa watu.
 
mkuu nae ongea hapa ni mwanaume tena naweza kuwa mwanaume zaidi ya baba yako alokuzaa..

Umesemaje wewe?ningekutukana ila naelewa wewe bado mdogo uwezo wako wa kuchakata mambo bado haujawa stable.

Shirikisha ubongo wako unapo-type hapa fake IDs zisikugeuze ujikute mwamba saana,unadhani hata baba yako kama yupo humu akijua wewe ndiye uliye-post utumbo ule pale juu angekuona mzima?by the way pale juu nilizungumza kama baba yako naye hakuzingatia bikra alipokuwa anakutafutia mama wewe nawe utaenda na spirit ile ile kutojali kuhusu kupata mke bikra so siyo kosa lako.

NB:nimekusamehe kwa kumdharau baba yangu.

Sikurudii tena!!!
 
Wakuu habari.

Moja kwa Moja kwenye mada.

Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni?

Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara na mke, kujenga nyumba na kuandika majina yenu wote, kuchanga na kununua gari, kurudi home mapema au kuchelewa n.k.

Ata ushahuri mdogo unaweza kua na msaada kwangu au kijana mwingine mwenye malengo kama yangu.

Natanguliza shukrani.

Sisi tulio oa,tunakwambia hivi,kama una uwezo wa kumuingilia mwanamke na siyo Khanithi na unaweza kumtunza,yaani kumlisha,kumvisha basi OA katika yule unayempenda na aliye kuridhia.

Mimi nipo kwenye mchakato wa kuongeza mke wa tatu.
Hongera mkuu. Mimi dini inakataza kuwa na mke zaidi ya mmoja na ndomaana michepuko kwa wakristo haiishi.
Hili tatizo.
 
dada zako waliolewa wakiwa mabikira au mama yako??? na je una hakika kwa jibu unalotarajia kunijibu???...pia kwa yeyote yule aloandika pia must bikira ajiulize na aje ajibu hilo hapa...
Mbona kama umehamaki

Ulivomjibu swali juu ya swali

[emoji23]
 
Kwani kwa kuwa mama yako na dada yako waliolewa wakiwa walisha sasambuliwa mbususu ina maana kwamba nawe oue asie bikra au usithamini umuhimu wa mwanamke kuwa bikra.

Kosa ni kosa tuu ata kama limefanywa na dada au mama yako. Kama waligegedwa kabla ya ndoa basi walizini. Kama mdingi aliingia chaka akaoa mama yako pasipo mama yako kuwa bikra hayo ni maamuzi yake. Lakini haimaanishi kuwa uthamani wa bikra unashuka eti kisa mwanamke asie bikra aliyemuoa baba yangu ni mama yangu.
[emoji3][emoji3][emoji3] et mbususu
 
Mkuu tuelewane,wapo mabinti huwa hawataki mambo ya kihuni (naita uhuni maana ndo wanavyoamini wao) mf;ukutane na bint leo kesho umwambie njoo ghetto moja kwa moja atakuona muhuni,cha kufanya target windo moja na immediately mtamkie suala la ndoa baada ya muda ndo uanze usumbufu huo ukiona anakataa kataa uliza sababu akikujibu kazia swali yupo sealed?maana lengo lako ni kumuowa kama yupo sealed muahidi utasubiri hadi ndoa.

Akisema ndiyo unakaa hata miezi nane mnafanya mawasiliano ya kawaida yale ya wapenzi kisha unamwambia nataka nianze taratibu za kutambulishana ila nataka kwanza ni-comfrim kweli upo hivyo maana lengo langu ni kukuowa atatia tena ugumu unampa sharti kwamba nitakuja kwenu kwanza kujitambulisha kabla ya kwetu ila kwetu ni mpaka utakaponihakikishia upo salama kama hana bikra utauona uelekeo wake mapema anaanza kusita sita kuogopa aibu kwa ndugu zake/ukiona anasita jua hamna kitu.

Hii trick jamaa yangu mmoja aliitumia amepata mzinga wa asali asipopategemea ila ombi;kama huna mpango na mtoto wa mtu muache iwe zawadi kwa mwanaume mwengine usimuharibu ikiwa amekukubalia umkague onyesha uanaume wako kagua mwambie avae nguo zake aondoke hiyo kazi utaifanya siku ya ndoa.

Hudhuria sana ibada kulingana na imani yako huko angalia wale ambao nao wanahudhuria sana ambao wapo aged 18/23 ktk wa4 hukosi,kumbuka kumtamkia ndoa mapema ili ajipe guarantee ya mahusiano yenu.

Hints hizo katumie,ila usiwe chombo cha kuharibu watoto wa watu.
90% [emoji106]
 
mkuu nae ongea hapa ni mwanaume tena naweza kuwa mwanaume zaidi ya baba yako alokuzaa.. sikiliza ukijua nini maana ya mwanamke utajua kwamba si tu maumbile yake bali ni akili yake na kizazi chako.. hivyo bikira yaweza kuwa alitolewa hata hajajitambua .. na hata uoe bikira utamtoa atakuwa kama huyo mwingine.. zingatia ubora wa akili yake pia walau awe presentable and all that bikira sio kitu muhimu awe disciplined one . .
39 %
[emoji106]
 
Sisi tulio oa,tunakwambia hivi,kama una uwezo wa kumuingilia mwanamke na siyo Khanithi na unaweza kumtunza,yaani kumlisha,kumvisha basi OA katika yule unayempenda na aliye kuridhia.

Mimi nipo kwenye mchakato wa kuongeza mke wa tatu.

Hili tatizo.
90%
[emoji106]
 
Back
Top Bottom