Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

ni marufuku mwanaume kulala ukutani, na vile vile usikose panga ndani maana wezi hawatabiriki

Hivi ni kwa nini hamtaki kullala ukutani
Kuna muda najifanya nimechoka siwezi kuvuka
Utasikia pita sehemu yako ukijifanya kusinzia unasogezwa kama mzigo!

Specific reason ya kulala mwanzo wa kitanda ni ipi?
Sipend basi tu[emoji57][emoji17]
 
Mwanaume siku zote anajivunia kuwa mlinzi wa mkewe hasa kwa mambo ya hatari.
Sasa tangu lini mlinzi anajificha ukutani.
 
Mwanaume siku zote anajivunia kuwa mlinzi wa mkewe hasa kwa mambo ya hatari.
Sasa tangu lini mlinzi anajificha ukutani.

[emoji23][emoji23][emoji23] Imebidi nicheke
Huyu huyu anaeniamsha nichungulie dirishani kuna nini [emoji23][emoji23]
Naona Kama mnang’ang’ana huko ili mkimbie kirahisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu habari.

Moja kwa Moja kwenye mada.

Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni?

Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara na mke, kujenga nyumba na kuandika majina yenu wote, kuchanga na kununua gari, kurudi home mapema au kuchelewa n.k.

Ata ushahuri mdogo unaweza kua na msaada kwangu au kijana mwingine mwenye malengo kama yangu.

Natanguliza shukrani.
USHAURI WANGU
Mke sio fenicha kuwa ushamuoa basi hahitaji huduma nyinginezo
Huoi malaika kuwa atakuwa mkamilifu kwenye kila kitu..unaoa mwanadamu mwenye mapungufu kama yako
Huoi supermarket kwamba utapata kila kitu huko
Ana background una background ... Lazima kila mmojawenu akubali kuwa na mwanzo mpya wa pamoja
 
Hizo bikra ni za namna gani mkuu? Maana hapa labda tuowe watoto wa chekechea
Hawa wapo kaka shida kama utatafuta mke ukiwa umemchora kichwani kwamba awe figure namba nane guu guu tako tako hutakaa umpate.

Mimi huwa nashauri...Mtu akitaka life partner ashirikishe akili na utulivu na sio hisia na matamanio pia awe focused na kizazi chake,sio rahisi mke uliyemkuta club au bar akakutunzia kizazi chako kama inavyotakikana na club au bar hukuti bikra hawa wapo kwenye jamii inayokuzunguka.
 
dada zako waliolewa wakiwa mabikira au mama yako??? na je una hakika kwa jibu unalotarajia kunijibu???...pia kwa yeyote yule aloandika pia must bikira ajiulize na aje ajibu hilo hapa...

Huu uzi ni wa wanaume wewe mwanamke umefuata nini hapa,acha wanaume tushauriane wewe kama bikra huna jua lako kwa wanaume wenye akili limeisha subiri mwanaume aliyefiwa na mke aje kukufariji nje ya hapo subiri kuzeekea kwenu.

Tunaomini ktk kuowa bikra hata mama zetu waliolewa wakiwa nazo ndo maana bado tunatembea na spirit za baba zetu kuchagua bikra huwezi kudai bikra kama baba yako hakulizingatia hilo alipokuwa anakutafutia mama yako.

Masuala ya dada zetu usituulize kawaulize waliowaowa.
 
Hivi ni kwa nini hamtaki kullala ukutani
Kuna muda najifanya nimechoka siwezi kuvuka
Utasikia pita sehemu yako ukijifanya kusinzia unasogezwa kama mzigo!

Specific reason ya kulala mwanzo wa kitanda ni ipi?
Sipend basi tu[emoji57][emoji17]
ULINZI(PHYSICAL,EMOTIONAL)
 
Wakuu habari.

Moja kwa Moja kwenye mada.

Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni?

Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara na mke, kujenga nyumba na kuandika majina yenu wote, kuchanga na kununua gari, kurudi home mapema au kuchelewa n.k.

Ata ushahuri mdogo unaweza kua na msaada kwangu au kijana mwingine mwenye malengo kama yangu.

Natanguliza shukrani.

Oa mwanamke mzuri nje (muonekano wa nje awe wa 🔥🔥), na character yake iwe ya (mama yaani hulka za kimama) hutojutia
 
Back
Top Bottom