***** wre uko ndoaniMwanamke wa kuoa.
1: Usimpende ila awe na vigezo vya kuwa mke ukitaka kuishi kwa raha mustarehe na hakikisha yeye ndio anakupenda na anauchungu na hiyo ndoa kuzidi wewe.
2: Mwanamke ni wa jumuiya hivyo hakikisha atakuwa balozi mzuri kwa wazazi wako na marafiki wako bila kusahau wanao yaani atakuwakirisha vyema. Achana na hawa matakataka wanao sema mke ni wakwako sijui usisikilize ya watu .... brother maisha Ni safari ndefu Kuna sehemu hutafika ukiwa na mke kero kwa watu, mwanamke Malaya , mwanke mwizi nk...... Nakwambia Tena mwanamke wa jumuiya ndio maana yakiwashinda ndani mnaanza kuita washenga,wazazi sijui wachungaji waje wawasuruishe Kama Ni wako kwa Nini usimsuruhishe mwenyewe, ndio maana wahenga walifupisha tu walikuambia mwanamke Ni tabia njema.
3: Mwanamke anae fiti viatu vyako
4: Awe mchakalikaji wa wastani
5:Awe anajua kwenye ndoa kafuata Nini.
6.....
7........
8......
9.....
10:......Awe mlevi kupindukia[emoji41]
Kama atafuata hawa popo tunaowajua wadandia bia, na wenye kuonyesha makalio lazima atakuwa anaokota makopo barabarani.Matako muhimu sana usimdanganye mwenzio [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Deep sana hii..
- Oa pale utakapojiskia ushakula ujana vya kutosha,
- Umri mzuri ni kuanzia miaka 33, wakati huo mwanamke umpite kuanzia miaka 6 na kuendelea (maana unaweza kumchoka mapema ukimuona anazeeka)
- Hakikisha mwanamke unaempata unaenda nae kufanya vipimo vya uzazi ili kujua kama kunamatatizo ya uvimbe au ugumba ili mtatue matatizo mapema kabla hamjaanza kufyatua watoto,
- Ukishaoa usiwe na muda maalum wa kurudi nyumbani (Usisomeke mpaka ratiba yako ikajulikana), maana inaweza kutokea dharula ukachelewa kurud nyumbani, ukirudi utakuta unasubiriwa utoe maelezo.
- Mshahara kila mtu abaki na wa kwake ila muwe na bajeti ya pamoja kila mwisho wa mwezi kwa ajili ya matumiz mbalimbali.
- Nyumba jengeni kwa pesa ya kuchanga pamoja, na majina ya umiliki wekeni ya pamoja itaonyesha upendo zaid.( Hata ukiweka la kwako au la kwake mkiachana mtagawana mali mlizochuma mkiwa pamoja)
- Kama mnafanya kazi maeneo tofauti sana na mnarud nyumbani mda tofaut basi nunueni magari mawili.
Hiyo point no.1 kwangu ni ngumu sana...! Huwa siwezi kukaa/kuishi au kujenga urafiki na mtu nisiyemkubali/mpenda..! Hongereni kwenu wote mnaoweza hiliMwanamke wa kuoa.