Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
Ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii haina ubishi kabisa ni Chai.Kuna wana watasema chai ngoja tuone ila bonge moja la
Bado haujaiva kwenye maeneo hayaINAENDELEA......!!!
Mimi wakati nimerudi magomeni maskani kusikilizia..kumbe braza muzungu yeye alikua hana safari yoyote ya kwenda kwa kaburu....alikua ananizuga 🤣🤣🤣🤣
Kachukua mpunga woote kanipa laki tisa afu kaenda kula bata sinza pale kwa macheni na katoa ofa kwa mwana sinichi....aliponiona tu magomeni akaniambia...
""Braza yako noma kweli katulewesha mpaka asubuhi""""""
Mimi ndio kushituka kua braza kweli anataka kupiga mpunga peke yake ngoja nimuwahi kwa bibi yake kidongo chekundu maana nisipomuwahi basi nitamkuta ameshamaliza mpunga wa maana sababu braza ni teja afu mlevi pia.
Ikabidi nipitie maskani kwanza kumstua braza MUBANDA na kumuambia oya bro.....braza muzungu atakua kwa bibi yake tumuibikie kabla hajamaliza hela kwenye pombe ns unga.
Sisi hao mpaka kwa bibi yake na tunafika pale saa saba na nusu mda wa maakuli tunskuta watu wanapakua wali maharage..
Sasa mjomba wake braza muzungu anatuuliza wanangu nyie ndio umemlewesha pombe ndugu yenu muzungu????
SISI: HAPANA MJOMBA KWANZA TUNSMTAFUTA...
MJOMBA: YUPO HUKO NDANI UANI KALALA AMELEWA HAJITAMBUI KAMWANGALIENI.
Wakati hata hatijamaliza kuongea bas sababu nyumba za national housing zina ukita mfupi...kwa nje tunaona difenda ya polisi inapaki na wanashuka mapolisi watatu na pasta muuzaji kala pingu na mchaga mnunuzi kala pingu.....!!
Mm fasta huyo naingia chooni na braza mubanda sababu alikua ameupa mgongo hakuwaona wale maaskari pale nje wakati wanapaki gari na kariakoo mtaa ule mchana kelele nyingi na magari kwa nje yanapaki mengi...sasa kama upo kwa ndani umeupa mgongo ukuta si rahisi kuona mpaka uchungulie.
Mm fasta huyo naingia chooni afu nawaacha braza mubanda na mjomba wanaongea na wakati huo ikumbukwe braza muzungu anadaiwa kalewa kalala kwenye moja ya vyumba hapo uwani kwenye nyumba ya bibi yake.....mara nasikia sauti.
SAUTI 1: HUYO HAPO
MIMI: KIMYA HATA SIKOHOI
SAUTI 2: NA MWENZAKE YUPO WAPI???
SAUTI 1: HATUJUI
MJOMBA: HUYO MPUUZI AMELALA HUMO MCHUKUENI.
SAUTI 1 :FUNGUENI HICHO CHUMBA
SAUTI 2: HUYU HAPA AMESHAAMKA.
SAUTI 1: MLETENI
MJOMBA: NA ACHAPWE VIBOKO HUKO SIMTAKI MTOTO MWENYE LAANA HAPA KWANGU
SAUTI 1: ALIKUA AMEONGOZANA NA NANI HAPA.
MJOMBA: ALIKUJA MWENYEWE
SAUTI 2: AFANDE TUSIPOTEZE MDA TUWABEBE.
SAUTI 1: SAWA ONGOZA MBELE NYIE MATAPELI NA WEZI
SAUTI YA MUZUNGU: AFANDE KAUSHA BHANA SIJAVAA NDALA ZANGU 🤣🤣🤣
SAUTI YA MAKOFI: PAHAA PAHAAA PAA
MJOMBA: ACHA NDALA ZANGU NENDA PEKU PUMBAVU.
SAUTI YA MUBANDA: MJOMBA UNAJUA TUNASINGIZIWA SISI HAWA WATU HATUWAJUI..IKISINDIKIZWA NA SAUTI ZA MAKOFI BAHAAA BHAAAAAA TWENDE HUKO.
MJOMBA: WEWE MTOTO AKIMAANISHA MUZUNGU UNA LAANA USIRUDI NYUMBANI KWA MAMANGU PUMBAVUU.
Mimi nimetulia chooni nausoma mchezo afu huyo nimechuchumaa nipo najidai nakata gogo la mchana mchana.
Mara nasikia gari inawashwa hiyo inaondoka...!!!
Mlango wa chooni unagongwa na mjomba...
MJOMBA: MWANANGU TOKA HUKO.
MIMI:MJOMBA BADO NAKUNYA 🤣🤣🤣
MJOMBA: MWANANGU WAMESHAENDA
MIMI: MJOMBA BADO NAKUNYA 🤣🤣🤣
MJOMBA: HAYA UKIMALIZA NJOO HAPA NIPO KIBARAZANI NAKUSUBIRI.
MIMI: SAWA MJOMBA.
Bas nikatoka kiuoga uoga na kumfuata mjomba pale nje na wapangaji wote full kunishangaa mimi wakiniunganisha na lile tukio.
Nikamkuta mjomba kibarazani.
MJOMBA: MWANANGU KAKA ZAKO WAMEFANYAJE????
USINIFICHE NIELEZE KILA KITU SABABU WEWE ULIKYA NAO JANA...NA LEO IMEKUJA NA MUBANDA HAPA.....SIKUKUTAJA MBELE YA POLISI SABABU NILIJUA WEWE SIO MTUKUTU KAMA WAO.
MIMI: WAMETAPELI MJOMBA.
MJOMBA: WAMETAPELI NINI???
MIMI: WAMEMUIBIA YULE MZEE ALIEKUJA KAFUNGWA PINGU NIKIMAANISHA PASTA.
Bas nikamuelezea kila kitu mjomba wake na muzungu sikumficha..!!
MJOMBA: ACHA WAFUNGWE SINA WATOTO WAJINGA
MIMI: MJOMBA NAOMBA NIONDOKE WASIJE KURUDI HAPA NA KUNICHUKUA NA MIMI.
MJOMBA SAWA NENDA MWANANGU.
MIMI: MJOMBA NAOMBA NIINGIE CHUMBANI KWA BRAZA MUZUNGU NICHUKUE ZILE SIGARA PORI ZAKE...MAANA JANA ALINUNUA NIKIWA NA NA HAWA WAUNGWANA WATARUDI KUKAGUA CHUMBA CHAKE MDA SI MREFU......KAMA WAKIJUA ANALALA HAPA KWA BIBI YAKE.
MJOMBA: SAWA
Nikaingia na cha kwanza kama navyojuaga vtumva vya mabaharia ni kwamba bangi zinafichwaga ndani ya redio na sio sehemu nyingine yoyote.
Nikalishika lile redio na kulitikisa na zikamwagika kete kibao nikazikunja mfukoni na pembeni nikakuta viatu na soksi akili ikanituma nivitikise viatu na nikungute soksi nikakuta noti kibao ndani ya viatu***KUMBE BRAZA AKILEWA ANAFICHA HELA KWENYE SOKSI NA VIATU AFU NDIO ANATEMBEA***FASTA NIKAWEKA SOKSI NA ZILE HELA NILIZOZIKUTA KWENYE VIATU NDANI YA MFUKO WA JEANS YANGU NA FASTA NIKACHUKUA ZILE SIGARA PORI NA KITENDO HIKO KILICHUKUA NUSU DAKIKA NIKATOKA NJE.....HUKU NIKIANGAZA HUKU NA KULE NA SIKUJALI MACHO YA WALE AKINAMAMA WAPANGAJI WA VYUMBA VYA UWANI.
MPAKA LEO SIJUI KWANINI WALE MANJAGU HAWAKUINGIA KUSACHI KILE CHUMBA KABLA HAWAJAONDOKA....NADHANI BAHATI ILIKUA UPANDE WA BRAZA MUDI MUZUNGU.
Bas mm nikamuaga mjomba akaniita na kuniuliza """Unajua kaka yako mtu wa mambo mengi na mnajuana umehakikisha hayo madudu yake yoote umetoa humo chumbani???"""""
Nikamjibu ndio mjomba na kutoka mdogo mdogo...sitaki kurudi maskani magomeni......nikatafuta usafiri wa daladala mimi huyo mpaka kwa azizi ally sina hamu kila kitu kimevurugika ila pamoja na hela nilizochukua chumbani kwa braza kwenye viatu na soksi pia mfukoni nina hela nilizopewa na braza Mubanda...na kule kwa bi mkubwa nimeweka laki nane alizonipa braza Muzungu jana usiku kabla hajaenda sinza kulewa mipombe yake na kuvuta bangi huko
Ikumbukwe hapo nina siku mbili ndio kwanza napewa mafunzo ya vitendo na braza MUBA MUBANDA akishirikiana na braza MUDI MUZUNGU.....mimi nikawa sielewi...mbona wakufunzi wangu wenyewe hawana umoja na ukizubaa wanakupiga fasta.
NB: KUMBE NILIPOTOKA HAIKUCHUKUA HATA DAKIKA TATU MANJAGU WALIRUDI KUPIGA SACHI CHUMBA KIZIMA HUKU MABRAZA WAKIWA WAMEKULA PINGU WOTE WAWILI PAMOJA NA PASTA NA YULE MCHAGA MNUNUZI WA DILI.....HIZO HABARI HIZI NILIPEWA BAADAE NA MABRAZA HALI YA HEWA ILIPOTULIA.
FULL KUNISIFU DOGO UNA AKILI KAMA ZA KAKA ZAKO BAADA YA KUONDOKA NA VILE VIDHIBITI NDANI YA CHUMBA CHA BRAZA MUZUNGU.
NA WAKANIAMBIA HAPO TAYARI NIMESHAFAULU MITIHANI KWA VITENDO WANIPA ALAMA""C""KWENYE UFAULU 🤣🤣😂😂😂😂!!!!!
ITAENDELEA....!!!!
Maisha ya darisalamu akili nyingi nyingiKazi kazi akili nyingi mjini
Naomba deal mkuu nipate pesa ya kula leo😂🤪Maisha ya darisalamu akili nyingi nyingi
Nipo nachingwea mdogo wangu....subiri nirudi kkooNaomba deal mkuu nipate pesa ya kula leo😂🤪
Ko leo unataka nishinde njaa kaka🥴?Nipo nachingwea mdogo wangu....subiri nirudi kkoo
Sema leta porojo achana na uhalosia anautoa Mr. Maarifa. Mnapenda sana Chai madogoLeta muendelezo mkuu, achana na porojo zakina Chizi Maarifa
Kama hujui kaa kimya usidhihirishe ujings wako,makanisani walipokea sana misaada ya computer miaka ya 2000!!Hadi Leo makanisa Bado yanapokea charity mbalimbali Hadi magari!Chai. Kanisa na used computer wapi na wapi. Ungesema shule au chuo.
Mwajuma ungenyamaza haya si yako. Acha wenye ngoma wacheze. Usivae shanga kwa ngoma si yakoKama hujui kaa kimya usidhihirishe ujings wako,makanisani walipokea sana misaada ya computer miaka ya 2000!!Hadi Leo makanisa Bado yanapokea charity mbalimbali Hadi magari!
Huyu ni mwandishi? Mwandishi wa nini? Au ndo maana waandishi wengi ni wale ambao wali failKumbe kibaka ehhh 🚮
Baada ya hapo ndo ukawa mwandishi wa kujitegemea! Basi mmbea tu
USHASEMA CHIZI MKUU 🤣🤣Leta muendelezo mkuu, achana na porojo zakina Chizi Maarifa
Jamaa chizi achana naeKama hujui kaa kimya usidhihirishe ujings wako,makanisani walipokea sana misaada ya computer miaka ya 2000!!Hadi Leo makanisa Bado yanapokea charity mbalimbali Hadi magari!
USHASEMA CHIZI MKUU 🤣🤣,
Kwani aliekwambia hapa tumekuja kuchambua kipi ni chai na kipi ni soda ni nani? Acha kushobokea nyuzi za watu mdogo wangu!!! Ukiona jambo ulielewi wala huliamini basi kiume zaidi unapiga kimya na kuendelea na michongo yako ya kumwagia maua na kuosha mbwa hapo kwa shemeji yako.Sema leta porojo achana na uhalosia anautoa Mr. Maarifa. Mnapenda sana Chai madogo