Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Sema huyu James ni noma, siwapendagi wanyarwanda ila huyu mwamba huwa bamkubali sana. Maana nasikia sikia kle operation kitona jamaa aliiongoza akiwa na 25yrs tu.. sasa imagine umri huo si tuko kukariri madesa tu huyu mwamba anapigo mzigo msituni watu wanamhanyaNilikua dogo janja nimetokea zangu na mabraza nimewasindikiza kusaka nyoka i mean kusaka dhahabu Kongo.......na kipindi hicho james ana 30 something hv.....kule Nyangwe kivu kusini 2001