Mabraza wa Kariakoo na dili zao

Mabraza wa Kariakoo na dili zao

Ila watu bana😂
Bado haujaiva kwenye maeneo haya
1. Utunzi ( utunzi wako ni mwepesi)
2. Uandishi ( bado hujajua kuchagua maneno mazuri kisha unacheka cheka sana. Nadhani ukitaka hii iwe kichekesho au ukidhani ndo watu watapenda.

3. Uhalisia ( bado ni story nyepesi ambayo mwandishi hujatumia akili kutunga umesikia tu kwa watu ukaunganisha unganisha matukio na kuifanya yako

USHAURI; JITAHIDI USIKATE TAMAA ILA ZINGATIA HAYO NLIYOKUAMBIA. PIA PUNGUZA KUCHEKA CHEKA au KUTAKA IWE KICHEKESHO WAKATI HAKUNA KINACHOCHEKESHA. NI UJINGA UJINGA TU.
 
Ni kweli kabisa mie nikikatisha 2001 ..kupitia kigoma mpk lubumbashi ..kipindi cha kifo cha mzee kabila ..napokusoma nakumbuka mbali vingine sipendi kuvikumbuka
Mkuu hiyo 2001 .......mtu mrefu wa RPF anaitwa James akataka kunipa bunduki.....niongozane nae.....tulikutana mahala......nikamuambia ""AM NOT TUTSI AM TANZANIAN STUDENT"""
Akaniuliza why are you here????
Nakamjibu"""TO FIND MONEY THROUGH BUSINESS"""Akanipiga pialga begani.......nice kid.....nice kid......you tanzanian are clever one.
But be care masasi haina macho"""
Braza tall fut 7 na nusu hivi kwenda juu afu mabodigadi kibao kama 50 hv..!!
NITASIMULIA HUKO MBELE
Screenshot_20240309-163137.png
 
Mkuu hiyo 2001 .......mtu mrefu wa RPF anaitwa James akataka kunipa bunduki.....niongozane nae.....tulikutana mahala......nikamuambia ""AM NOT TUTSI AM TANZANIAN STUDENT"""
Akaniuliza why are you here????
Nakamjibu"""TO FIND MONEY THROUGH BUSINESS"""Akanipiga pialga begani.......nice kid.....nice kid......you tanzanian are clever one.
But be care masasi haina macho"""
Braza tall fut 7 na nusu hivi kwenda juu afu mabodigadi kibao kama 50 hv..!!
NITASIMULIA HUKO MBELEView attachment 2929467
Sawa sawa binamu..mie nafika Tanganyika ndio mzee anauwawa so niliyekua naye anatakiwa kufika lubumbashi..aisee sitaki kukumbuka ile safari ..mpk tunafika lubumbashi kwa mama kibawa ( dada wa mzee kabila ) ilikua zoezi tosha
 
Sema enzi hizo hatufahamiani.....siku mzee anauawa mm nipo kibondo sehemu inaitwa mabamba naitafuta Burundi kulikua na dili za kuleta maparachichi kahama....mkuu....nakumbuka sana!!
BARABARA ZA KIBONDO MBOVU KWELI ENZI HIZO......DUUH NIMEMKUMBUKA MZEE KABILA......DUUUH
 
Back
Top Bottom