Mabraza wa Kariakoo na dili zao

Kupitia mabandiko Yako nimepata munkari wa kuyatafuta maisha kimataifa...! Nipo Dubai ila nakazia hapo ulipo sema nchi yetu ina heshimiwa sana nje ya mipaka yetu...

Mimi nilishawahi kukamatwa zaidi ya mara 4 ila nikiwaambia tu Mimi ni mtanzania wananiacha naendelea na mishe zangu bila kupekuliwa chochote.

Siku Moja nilikuwa nimeongozana na mnaigeria walibeba Mimi waliniacha...Tanzania sio nchi ya kawaida nje ya mipaka...!​
 
Hata hivyo inategemea ulikamatiwa wapi, kama ingekua south au kina Yutong pia ungejua hujui na hii ilitokana na mapunda wa madawa
 
Mkuu ivi ulivyomgusia mtu anaitwa James, Nahitaji kujua kuwa ni uyu James Kaberebe rafiki ake mkubwa Paul Kagame ambae alimtunuku kuwa uwaziri wa ulinzi Rwanda au yupi ? Na Kama ndio uyu basi wewe utakuwa na miaka mingapi aseeh kusema umekutana nae akiwa msituni ? Na ulisema jamaa aliingia msituni akiwa mtoto asa inakuaje status yake inaonesha ni Makerere university graduate ? Nelson Jacob Kagame
 
Kagame wa mchongo.
 
Humu wengi hawajakutana na misoto na maisha haina haja ya kufanya wakuamini achana nao ndio maana wengi wao wanapitwa hata na madili ya kawaida tu kwa ubishi wao... Jamaa nimefaidi sana mema yao
Nipe konekshen sista yani sisomeki kabisa na mwaka ndo kwanza umeanza ni bless kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…