mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
dah hebu niletee maikiOyaa pipaa
Mchane wewe maana tukimchana mi na mchizi maarifa tunaonekana masnichi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah hebu niletee maikiOyaa pipaa
Mchane wewe maana tukimchana mi na mchizi maarifa tunaonekana masnichi
YOSSO NI CLAN YA WATU WA DILI CHAFU......NADHANI ILIANZIAGA KEKO HUKO....BAADAE POLISI TASK FORCE WALIISAMBARATISHA
ULIZIA KWA WATU KOMANDO YOSSO WALIKUA WATU WA AINA GANI....WALIKAMATWA NA KUSAMBAZWA JELA ZOTE NGUMU ZA TANZANIA BARA..!!!Inaonekana walikuwa wahuni kwelikweli na polisi walikuwa na usongo nao sana kupoteza karibu ukoo wote.
Nahisi hata kama kuna waliobaki walibadilisha surname polisi wasiwawinde.
Au Panyaroad, aah nimekuelewa.ULIZIA KWA WATU KOMANDO YOSSO WALIKUA WATU WA AINA GANI....WALIKAMATWA NA KUSAMBAZWA JELA ZOTE NGUMU ZA TANZANIA BARA..!!!
WENGINE WALIKUFA KWENYE MATUKIO KAMA WANANGU HAPO JUU...!!
NB: YOSSO SIO UKOO BALI NI NEMBO YA GENGE LA UHALIFU KAMA MAFIA AU MUNGIKI
broo hawa machiz wa chai achana nao we tupia mambo tujifunze, nikwambie tu ki2 hapa jf hakuna mtu mpuuz kama mimi hakuna mtu anaejua kudislike kama me, na weng wame ni block wasione hata comment zangu nikisimamia ukucha nakusimamia haswa hata hawa wanaokuletea fujo kwenye huu uzi hawana madhara ni wapuuz tu wanajifunza na hata kule milembe 2020 mm ndio nilikuwa rais wa vichaa tz nzima kwahy umebahatika na kukubalika na mtu kama mimi sio mwingn ni mimi mr pipa aka nabii wao kuwa na aman leta story watu tuelimikeBe bless
Be blessed mdogo wangubroo hawa machiz wa chai achana nao we tupia mambo tujifunze, nikwambie tu ki2 hapa jf hakuna mtu mpuuz kama mimi hakuna mtu anaejua kudislike kama me, na weng wame ni block wasione hata comment zangu nikisimamia ukucha nakusimamia haswa hata hawa wanaokuletea fujo kwenye huu uzi hawana madhara ni wapuuz tu wanajifunza na hata kule milembe 2020 mm ndio nilikuwa rais wa vichaa tz nzima kwahy umebahatika na kukubalika na mtu kama mimi sio mwingn ni mimi mr pipa aka nabii wao kuwa na aman leta story watu tuelimike
broo hapa sasa unaharibu mi kukuita bro haimaanish mi ni dogo wa kuitwa dogo nina miaka ya kutosha tu nina wajukuu pia sasa mjukuu wangu akisikia umeniita dogo?? Na msijisahau kwamba hz comment hazitojulikana kuna siku kila mwenye comment na uzi atajulikana hadharan kumbuken teknolojia inakua, sasa kesho mjukuu wako anakuta mambo yako si tayar umedharaulika miaka yoteBe blessed mdogo wangu
[emoji23] msamehe saba mara sabini mkuuusawa mkuu ila kuna mwamba kanitus sana sijapenda,, nimeahid lazima nimtafute nimvalie condom hawez kuninanga vile yaan anasahau kama mimi popobawa kwakwer toka niwe popobawa sijawah kudharauliwa na binadamu kama alivyo nidharau kale kajamaa we ngoja mbona katanogaaa, kanajua wote binadamu kanasahau huu mtandao tunautumia viumbe wengi oya maxmelo., niongeze cheo hiyi expert members wadau wananidharau,, sasa turud kwenye hoja huyu mtoa mada nimemwelewa na kinachokuboa wewe ni kuweka story ndefu na amaliz ila kwa niaba ya vichaa wote tunaotoka muhimbili namwombea kwa vichaa wenzangu kama wewe, na chizi maarifa tumsamehe mana anasimulia kwa uchungu,, ila yule mwamba alie nitus mwambien namnunulia redbull, baadae namtembelea
Pipa achana na saundi lete code tumpige muhindi bilioni [emoji23]broo hawa machiz wa chai achana nao we tupia mambo tujifunze, nikwambie tu ki2 hapa jf hakuna mtu mpuuz kama mimi hakuna mtu anaejua kudislike kama me, na weng wame ni block wasione hata comment zangu nikisimamia ukucha nakusimamia haswa hata hawa wanaokuletea fujo kwenye huu uzi hawana madhara ni wapuuz tu wanajifunza na hata kule milembe 2020 mm ndio nilikuwa rais wa vichaa tz nzima kwahy umebahatika na kukubalika na mtu kama mimi sio mwingn ni mimi mr pipa aka nabii wao kuwa na aman leta story watu tuelimike
Unjaani man!!!aweeeeeh jaivaaaaah
code zinakuja nitakuja kwa kishondo saiv napikwa andaen vibundaPipa achana na saundi lete code tumpige muhindi bilioni [emoji23]
stay away jelousy manUnjaani man!!!
Duh kweli nchi imetoka mbali hii
Mzee wa ku...like leo umekomenti😁😁😁Duh kweli nchi imetoka mbali hii