Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
- Thread starter
-
- #21
Nitamwambia akakae na huyo mama yake kwenye nyumba aliyoijenga huyo mtu..... walio wengi wa wanaoishi kwa wazazi, siku wazazi hao wakitoweka dunia ndo inakuwa balaa.... Na nyie manaodhani mnawatetea mnawadanganya.Do you my ninja.
Do you.
Mtu akikwambia mama yake ana kifafa na anataka awe karibu kumhudumia muda wowote atakaohitajika utamwambia nini?
Walio wengi hata hivyo viwanja hawana. Wao huwa wanafanya vitu ambavyo vitazidisha umaarufu wao, au vile vitakavyovuta hisia za watu wengi, mfano mavazi, magari etc etcmna uhakika gani kama wanachangia ugali na mama zao??????
What if wao ndo wanawahudu.ia wazazi wao?????
Kwanza hela ya kupanga si heri anunue kiwanja????
Kwani kuishi nyumbani ndo nn? Mbona chid anaishi ilala kwa mama\bibi nae mtoto wa mama??
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ndo uuamini sasa......
Mambo ya ndani ya familia hakuna ajuae isipokuwa alovaa hicho kiatu...........
Kwanza hawa wasanii wana kipato gani?
Hizo milioni 5-6 za kuoanga nyumba mbagala si bora wakanunue miguu 20 kwa 20 vikindu wapachuke tofali waishi humo?????
Ukizingatia usupastaz bongi ni wa msimu? Muda wako ukipita tu umeumia....
La sivyo kesho na keshokutwa wakija kuomba msaada kwenye tv msiwanyanyapae...
Do you my ninja.
Do you.
Mtu akikwambia mama yake ana kifafa na anataka awe karibu kumhudumia muda wowote atakaohitajika utamwambia nini?
kuna watu hapa duniani kazi yao ni kutetea ujinga.... Sasa ukute mtu anaishi kwa wazazi halafu wazazi wanatoweka duniani, sasa ndugu waliobaki wakianza kugombea urithi ndo inakuwa balaa kabisaAhahahaha, duuuh! Sasa hizo milioni, na kuna mswahili analipwa na sirikali yake take home ya laki 3, amepanga nyumba iswazi na ana nyumba ndogo uchafuni! Maisha ni kujikaza aisee. Unakaa home ili usave kodi ujenge? Seriously? Kama kigezo ni kuwa na mahala pa kuishi bila kodi wengine tusingehitaji hata kuwaza viwanja. Nyumbani kwa baba kuna makao mengi, lmao!
Aisee mie naamini kwenye independence. Hata kiwanja cha kupewa nyumbani wala nyumba ya mzee ya buree siitaki kuishi. Napenda feeling ya kuota mabawa na ku-fly away kutoka kiotani!
Ndo hapo chacha, yaani kifafa kinasubiri mtoto yupo home ndo kifanye mambo yake..??! Tena kifafa hakitaki mtoto ajenge nyumba yake. Just imagine, wengine humu ndani kwenu mmezaliwa zaidi ya kumi, sasa wote mkiishi kwa wazizi itakuwaje? Tena wengine mna tabia mbaya mnaleta mademu zetu kwa mama na mnawagegedea hapo.... Ni ujinga tu mtu kutetea mtu mzima kuishi kwa mama/wazazi. Eti na wewe unafunga taulo unapishana wazazi wako na taulo lako hapo kwa mama...Na huyo mama kifafa chake kina mkataba na promota? Kuwa siku nimesafiri nje ya mji hakimpigi? Muhimu ni kufanya arrangement tu ya kumsaidia. Na kama ni muhimu basi najipanga kuishi karibu na mama.
Hivi, unafahamu tofauti ya kuishi na mama na kuishi kwa mama? Mnaosema pengine mama zao wana vifafa ni namna ya kujitetea. Kama ni kweli wana vifafa hiyo ni kesi tofauti. Kama mama yako unaishi naye kwako hiyo ni sahihi.... Maana umemtoa huko ambako angekuwa anaishi na unaishi naye wewe. Sasa wewe unaishi kwake na si ajabu anakununulia hadi pafyumu na mavazi ya kufanyia show/maigizo halafu useme ni sawa.... NO SITAKUBALIANA NA HILO...
Kwa hiyo wewe raha yako ni kumuona mama anaondoka kwenye nyumba yake amfuate mtoto nyumba ya kupanga, ili tu iwe anakaa kwa mtoto na sio mtoto anakaa kwa mama?! Kuishi kwa mama na kuishi na mama ni semantics tu, muhimu ni anachokifanya kwa ajili ya mama yake
Wengine nadhani ni kutojiamini tu au ni control freaks kuwa unaona huwezi kuonyesha uwepo wako mpaka uwe kwenye himaya yako. Au ni katika kujionyesha kwa wengine kuwa wewe umekuwa na unaishi kwako
Sioni kosa la mtu kuishi na mamaye iwe kwa mama au kwake yeye mwenyewe.
Woote nimestuka ila huyo anayeishi kwa mamamdogo tena ndo kanipa presha, nikizinduka nitarydi kutia neno
kuna watu hapa duniani kazi yao ni kutetea ujinga.... Sasa ukute mtu anaishi kwa wazazi halafu wazazi wanatoweka duniani, sasa ndugu waliobaki wakianza kugombea urithi ndo inakuwa balaa kabisa
Nitamwambia akakae na huyo mama yake kwenye nyumba aliyoijenga huyo mtu..... walio wengi wa wanaoishi kwa wazazi, siku wazazi hao wakitoweka dunia ndo inakuwa balaa.... Na nyie manaodhani mnawatetea mnawadanganya.
Mtoto akisha maliza masomo anapaswa kuanza kujitegemea kutafuta maisha
Na huyo mama kifafa chake kina mkataba na promota? Kuwa siku nimesafiri nje ya mji hakimpigi? Muhimu ni kufanya arrangement tu ya kumsaidia. Na kama ni muhimu basi najipanga kuishi karibu na mama.
Akikwambia hajamaliza masomo bado?.
You totally missed the point.
Point si kuzuia kifafa. Point ni kuwa karibu in the chance kifafa kitatokea.
Bottom line, ukivalia njuga maisha ya mwenzako unachoniambia ni kwamba huna yako.
Wabongo acheni ku-cram na kurudia mambo out of habit kama mnaimbishwa nyimbo za mchakamchaka bado.