Tetesi: Machache aliyonieleza mfanyakazi wa TPA yana ukweli?

Hivi kuna siku na sisi tutaenda kuwa wawekazaji kwa wenzentu kweli?
 
Hivi kuna siku na sisi tutaenda kuwa wawekazaji kwa wenzentu kweli?
Kwa mjibu wa hawa wenzetu wenye visomo vya vitabuni tu, hilo ni jambo lisilowezekana kabisa.
Uwekezaji ni kutoka nje tu kuja kwetu, kwa sabau sisi hatuna uwezo.
Tunachotakiwa ni kuwategemea tu hao wawekezaji waje hapa.
 
Wewe umekwisha changanyikiwa, akili yako haifanyi kazi tena sawasawa!

Utarudia rudia kuandika unayofikiri kichwani mwako, lakini hayatabadili yote yaliyomo ndani ya IGA yenyewe, ambayo sisi wengine wote tumeyasoma na kuyaelewa.

Na bado, mambo makubwa ndio kwanza yanaanza.
 
Binafsisheni TANESCO ili tunufaike wote sio bandari ambapo hatujui raia sisi wa chini tumepata nini?
Hakika umeongea jambo nyeti Sana, hili shirika libinafsishwe Ili hata kwetu huku vijijini tupate umeme si umeme kupewa watu wa mijini tu. Hata TTCL ingekuwa pekee yake Hadi Sasa, wengi tusingekuwa na uwezo wa kumiliki simu.
 
Nchi hii ina IGA ngapi zilizo kazini muda huu?. Umezifahamu zote zilivyo kifungu kwa kifungu?. Kuna IGA nyingine mbili zinakuja hapo hapo bandarini mwezi ujao, unazifahaamu zipo vipi?.

Narudia kukwambia mwezi wa kumi tarehe za mwishoni hapo TPA panaanza kazi mpya kabisa ya uendeshaji, kama jamaa zako wanakula kwa kutegemea mifumo ya wizi na upigaji biashara yao ndio imekwisha rasmi.

Rais kusema anakaa kimya ni busara za kiuongozi alizoamua kutumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…