Atekwe vp, labda Msanii amchome!!Mungu amlinde mfanyakazi huyo ili asitekwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atekwe vp, labda Msanii amchome!!Mungu amlinde mfanyakazi huyo ili asitekwe
Ninawaelewa sana wenye mawazo kama haya uliyowasilisha hapa, ila huwa nashindwa kabisa huwa hamuendi mbele zaidi na kutaja tatizo la haya yote hasa ni nini?Hizi taasisi za umma ziko corrupt and inefficient tunapoelekea hata TRA itakuja kubinafsishwa maana hawana ubunifu, hawana ufanisi kazi kuomba rushwa tu na kuongeza tozo!!
Well said kiongoziTatizo ni mama Mwenyewe Wala SIO watanzania.
Hii nchi kamwe haiataacha kutafunwa kama tutakua na watu wabinafsi na wanaosimamia Mila na itikadi zao Badala za Katiba.
Yani akiingia mmanyema anaangalia Mila za kimanyema, akiingia Mzaramo anaangalia Mila za kizaramo Badala ya Katiba. Akiingia Mzanzibari au mtanganyika akataka ajikite kwenye ukanda wake Badala ya Katiba ya nchi. Mbaya zaidí CCM Imekua ikicheza mchezo mbaya zaudi Wa Udini Kila Wanapoona Wizi wao unaanza kuwachosha Wananchi.
Mfano karata anayetaka kuitumia Kikwete ni kuwachanginisha Wakristo kupitia madhahebu anayojua miaka yote hawalipendi kanisa la Roma ,Mfano Wasabato,na makanisa ya Mabepari na wakaloni Mambo Leo ya kimarekani yanayoendeshwa kifamilia na kukusanya Sadaka Kwa ajili ya kujilimbikizia Mali bila kutoa Mchango Wowote au huduma yoyote kwenye jamii.
Magufuli alikua na akili kubwa na Maono.
Chuki kubwa ya watu wachache sana ndiyo inayoliumiza taifa hili.
Kuelekea 2025 wapinzani walikua na nafasi kubwa sana ya kuchukua nchi Kwa asilimia kubwa sana.
Tatizo litakalowasumbua ni Kuwa na Vyama visivyo na Mrengo Wa kisiasa.
CCM ni Chama Cha kijamaa na katiba Yetu na Mila zetu na utamaduni WETU ni utamadunia unayoendana sana na ujamaa na kujitegemea .
Mwalimu alitumia nguvu kubwa sana kulinda Mila zetu ,umoja WETU na utamaduni WETU na hulka Yetu ya Ujamaa.
Tatizo wamejitokeza watawala wanaoendekeza ama Udini au biashara Zao na uroho Wa Mali . Yani kuanzia kipindi Fulani walijitokeza watawala wakaanza kuwagawa wanafunzi mashuleni kulingana na Dini zao Kwa kuvaa mavazi Tofauti. Mara zikaanza Taasisi za kudhaminiwa na Matajiri Wenye Dini Fulani kuanzisha benki zisizo na Riba Kwa watu Wa Dini Fulani,mara wakaanza kufadhili Taasisi za kuficha watoto misituni na kuwafundisha mambo ya kupigana na kupigania Dini. Mabiloni ya pesa yakaelekezwa mifukoni mwa watu. Baadae wakajitokeza watu wakapiga Kelele Kuwa hatuelekei kuzuri. Watawala wakakaa kimya na chama tawala. Watu wakaanza kumwagiwa Tindikali kule Zanzibar watawala wakakaa kimya . Zanzibar ni kaeneo kadogo watu wanajuana lakini hakuna aliyekamatwa. Kwa kuchoma makanisa moto Wala kumwagia mapadri Tindikali.
Kikwete akemee Dini zinazokaa kimya wakati watawala wanapokiuka Sheria na kuwaonea wanyonge kwenye utajiri aliouumba Mwenyezi MUNGU.
Nchi ni ya MUNGU,rasilimali ameziumba Mungu sio chama Cha Mapinduzi Wala Watawala na tamaa Zao. MUNGU ananungunikiwa na wanyonge kwenye nchi aliyoiumba na kuiwekea rasilimali nyingi Kwa sababu ya Wanasiasa waovu halafu eti viongozi Wa Dini wakae kimya.!!
Lakini walipoanza kusema CCM isichaguliwe kule Zanzibar ndipo walipokamatwa mashekhe na kupewa kesi ya ugaidi. Waliona CCM ikiondoka madarakani maslahi ya wale wanaotumika kupokea Mapesa machafu kupitia mipango Yao ya hovyo yatapotea.
Hii nchi Kuna watu wachache wanajilimbikizia Mali kutokana na harakati chafu sana na Kwa sababu wamejificha ndani ya Chama Cha Mapinduzi hawaguswi.
Haiwezekani bandari kubwa kama ya Dar es Salaam wapewe Waarabu kuja kuiendesha Chini ya Serikali ya wezi waliojawa na Udini ,uchama na ubinafsi mkubwa halafu ifanye Vizuri . Ni ndoto ya alinacha . Kinachofanyika ni Wezi waliochota pesa za umma kuungana na DPW kujiuzia bandari Kwa mgongo Wa Nyuma.
Hivi kama Mwarabu Chini ya mkataba huo mbovu na utawala mbovu Chini ya Chama kibovu na TRA yenye utendaji mbovu na TPA mbovu akishindwa kuleta tija atafanywaje.?
Yaani Waarabu wanaotuibia wanyama na kufanya njama kumiliki nchi ya Loliondo ndani ya Tanganyika Leo wamegeuka na Kuwa na Huruma ya kutukuaanyia pesa za bandari yetu Kisha watupe tupate maendeleo tusomeshe watoto WETU wapate utaalamu mkubwa na tuwe na jeshi kubwa na imara ,na teknolojia kubwa na maendeleo makubwa ,tuchimbe mafuta Yetu na gesi yetu na urenium Yetu Kisha tuchukue bandari Yetu tuimiliki na wao warudi Dubai Jangwani . Ni kichaa pekee aliyechanganyikiwa na kubaki kama Nabii Tito anaxeweza kuamini Kuwa DPW watatuletea maendeleo.
Kwanza hawatamuogopa MTU yeyote Kwa sababu Hana Cha kuwafanya na Hana mamlaka ya kuwafanya Chochote.
Magufuli aliogopwa mana alikua anaweza kumfanya MTU Chochote.
Hawa Hata Wakiiba hakuna MTU atawakamata Wala Kufunga Akaunti zao Wala kuwafungulia kesi za uhujumu uchumi Wala kuwanyanganya Mali zao Wala kutengua uteuzi wao.
Kifupi Kwa Serikali ya chama Cha Mapinduzi ni Bora tuendelee kuendesha bandari Yetu mana angalau akijakutokea Magufuli Mwingine basi atawatumbua Wezi na kuwaweka gerezani au Hata kutaigisha Mali za wale wasiotaka kubadilika . Angalau watu watakua waoga pale bandarini. Watanzania ni waoga lakini wakiona wenzao wanaiba na hawasemeshi Wala kutumbuliwa basi na wao Wanaiba. Na wakiona Kuwa kibali Cha kuiba ni shati la kijani basi wanavaa.
Bandari zetu wapewe watanzania Wenzetu . Wapewe Kwa mikataba inayobana wizi kuliko kupewa waarabu ambao hatutaweza kuwabana Kwa sababu mkataba umewapa heshima kubwa Kama miungu. Mbaya zaidí kuna watu wanawaona kama vile ni wakombozi Wa kidini na kiroho.
Bodi ya bandari iundwe na Majenerali Wa Jeshi la Wananchi Badala ya makada Wa CCM waliotumikia wizi Kwa miaka mingi na wanaendelea kuwaza pesa za Rushwa zipatikane wapate Mgao .
Ukimsikiliza Zito kabwa huwezi kuamini Kuwa Ana Miliki chama Cha kijamaa kifalisafa na kiimani Bali ni Muungano Wa fursa ya kuiba pamoja na CCM.
Usitie shaka, acha lituondolee uchafu huu ulioganda siku nyingi, nikiwa na maana ya CCM na serikali yake.Hujasikia chuo Cha polcs kgambon kinahamishwa kupisha DP,
Hili dude wamedhamiria, tuongeze nguvu, la sivyo itaenda.
HAPANA, 2025 mbali ,watakuwa wameuza Kila ki2,Usitie shaka, acha lituondolee uchafu huu ulioganda siku nyingi, nikiwa na maana ya CCM na serikali yake.
DPWorld haitawaacha salama wakiendelea kuvimbisha vichwa.
Kama hawalioni hilo, watakuwa wamelewa madaraka vibaya sana.
Saizi usiku usiitaje Bandari ya Dipiwodi semaNajua humu JF wapo wenye kuyaelewa haya mambo yanavyokwenda, je hizi taarifa zimekaaje?
Nidhamu ilikuwepo mkuu.JPM hakufanikiwa lolote huko bandari, ufisadi haukuwahi kuisha TPA na ufanisi Bado ulikua chini sana.
Sijui why mnamuona JPM alikua perfect, hivi si ndio NIDA alitumbua weee mbona bado vitambulisho havitoki?
Wote Yale Yale tu
We Msanii acha Usanii. Bajeti ya bandari inakataje?Naeleza kwa ufupi. Wenye kuelewa haraka hongereni.
Najua humu JF wapo wenye kuyaelewa haya mambo yanavyokwenda, je hizi taarifa zimekaaje?
- Bajeti ya Bandari inakata Sept 2023 ambapo kwa mujibu wake anasema kuanzia Oktoba TPA itakuwa ktk wakati mgumu kwenye kujiendesha
- DPW walipaswa kuanza shuguli bandarini mnamo Oktoba 2023. Lakini mpaka sasa seems deal halijafikia muafaka.
- Siyo kweli kwamba Watanzania hawana uwezo wa kuendesha bandari bali ufanisi hauonekani kwa sababu watawala wamekinga mirija yao bandarini.
- Endapo serikali ingeunda mamlaka inayojiendesha kibiashara kusimamia bandari na kuwepo nanusimamizi wa kizalendo, bandari zetu zingeweza kuleta tija mara kumi zaidi ya kinachotarajiwa kuletwa na DPW
Yote hayo yanasababishwa na haohao viongozi.Not true, makadirio ya Mapato na matumizi say bajeti yalishapitishwa tokea July huko so haiwezekani iwe na pesa ya miezi 3 tu!!
Kwa mkataba upi? Na hata wangeanza ni Gati kama 3 pekee Sasa hizo zingine zitaendeshwa kwa bajeti ipi maana Dp world haito cover huko at least for now.
Ni kweli ila hao TPA ni mafisadi sana tu, ingawa DP world ni wageni ila wanatafuta faida so lazima watafanya kazi sana Ili waingize faida juu ya mgao wanaotupa. Ila mbadala wa DP world kamwe sio TPA kuendesha bandari ila mwekezaji mwingine mwenye tija na usawa.
Sio kweli serikali itateua watu wale wale kuongoza hiyo authority kama kina Chenge, Hawa Ghasia n.k Sasa unategemea ufanisi au uhuru wa taasisi? Hao ndio wataiba kweli kweli kuliko hao TPA au DP World!!.
We jiulize tu hata TRA ukusanyaji Mapato hauna ufanisi kabisa mfano kitengo Cha International Tax Unit kinatakiwa kikague transfer pricings kwenye MNCs Zenye matrilion ya mtaji Cha ajabu huwa wanakagua 10% pekee ya hayo makampuni!! Ila Cha ajabu ukiwapa kazi say Deloitte au PwC unashangaa watakagua mashirika yote!!
Hizi taasisi za umma ziko corrupt and inefficient tunapoelekea hata TRA itakuja kubinafsishwa maana hawana ubunifu, hawana ufanisi kazi kuomba rushwa tu na kuongeza tozo!!
Kwa nn tusitafute kampuni ya kitaalamu kama deloitte ya management tuu na sio kuleta watu wenye migogoro na bandar djibout.sudan etcNot true, makadirio ya Mapato na matumizi say bajeti yalishapitishwa tokea July huko so haiwezekani iwe na pesa ya miezi 3 tu!!
Kwa mkataba upi? Na hata wangeanza ni Gati kama 3 pekee Sasa hizo zingine zitaendeshwa kwa bajeti ipi maana Dp world haito cover huko at least for now.
Ni kweli ila hao TPA ni mafisadi sana tu, ingawa DP world ni wageni ila wanatafuta faida so lazima watafanya kazi sana Ili waingize faida juu ya mgao wanaotupa. Ila mbadala wa DP world kamwe sio TPA kuendesha bandari ila mwekezaji mwingine mwenye tija na usawa.
Sio kweli serikali itateua watu wale wale kuongoza hiyo authority kama kina Chenge, Hawa Ghasia n.k Sasa unategemea ufanisi au uhuru wa taasisi? Hao ndio wataiba kweli kweli kuliko hao TPA au DP World!!.
We jiulize tu hata TRA ukusanyaji Mapato hauna ufanisi kabisa mfano kitengo Cha International Tax Unit kinatakiwa kikague transfer pricings kwenye MNCs Zenye matrilion ya mtaji Cha ajabu huwa wanakagua 10% pekee ya hayo makampuni!! Ila Cha ajabu ukiwapa kazi say Deloitte au PwC unashangaa watakagua mashirika yote!!
Hizi taasisi za umma ziko corrupt and inefficient tunapoelekea hata TRA itakuja kubinafsishwa maana hawana ubunifu, hawana ufanisi kazi kuomba rushwa tu na kuongeza tozo!!
DPp world Si wawekezaji ni wakoloni, wanatulazimisha tubadili KATIBA Ili wamiliki ardhi bila UKOMO.Acha kuzua taharuki. Huyo mfanyakazi naye ana mrija wake bandarini. Bandari inaingiza hela nyingi ila zinaishia kwenye mifuko ya wachache. Vijana wadogo wanaofanya kazi TPA wana utajiri wa kufuru. JPM alikamata kamata ila hakuweza kufaulu. Mama kuleta DPW itakuwa komesha ya wezi wote ndo maana tunasikia vilio kila kona.
Tumeongeza nguvuHujasikia chuo Cha polcs kgambon kinahamishwa kupisha DP,
Hili dude wamedhamiria, tuongeze nguvu, la sivyo itaenda.
Tutakapoandamana mbele wakitangulia Manabii wetu Mwabukusi and co. Dude Hilo litayeyuka.Tumeongeza nguvu
DPW inayokuja ina share za wezi na mafisadi wa CCM wa zile royal families.Acha kuzua taharuki. Huyo mfanyakazi naye ana mrija wake bandarini. Bandari inaingiza hela nyingi ila zinaishia kwenye mifuko ya wachache. Vijana wadogo wanaofanya kazi TPA wana utajiri wa kufuru. JPM alikamata kamata ila hakuweza kufaulu. Mama kuleta DPW itakuwa komesha ya wezi wote ndo maana tunasikia vilio kila kona.
Mkuu '1000digits', kwa mara nyingine tena (kuna mara kadhaa huko nyuma nilishafanya hivyo) nimekusoma kwa makini sana andiko lako lote refu.Bodi ya bandari iundwe na Majenerali Wa Jeshi la Wananchi Badala ya makada Wa CCM waliotumikia wizi Kwa miaka mingi na wanaendelea kuwaza pesa za Rushwa zipatikane wapate Mgao .
Shida kubwa kwa Tanzania ni kuwapata hao wa kwenda barabarani.HAPANA, 2025 mbali ,watakuwa wameuza Kila ki2,
Tuungane na Nabii Mwabukusi kupeleka mashtaka mahakama ya umma iliyo juu ya zote, mabarabarani na Viwanjani Ili waovu watokomee!!