Mimi naishangaa serikali.
Kuendesha serikali na taasisi zake zote tunaweza.
Kuendesha BOT tunaweza, kuendesha Ikulu tunaweza Ila serikali inatuaminisha hatuwezi kuendesha bandari mpaka waarabu waje waendeshe.
Mimi ningeshauri waarabu waje wachukue nafasi ya spika wa bunge na ya waziri mkuu na mkuu wa TISS ndio mwakani tukiona wameketa mabadiliko bungeni tuwape bandari na mahakama.