kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
1. Hii ni moja kati ya mechi ngumu msimu huu, JKT wamecheza kwa mbinu na nguvu nyingi dakika zote.
2. Refarii hajafanya kosa kutoa tuta, lile ni tuta, wa kulaumiwa ni mchezaji wa JKT kufanya utoto dakika za mwisho ( inawezekana ni mwanafamilia wa Simba).
3. Joshua mutale apewe mapumziko na program maalumu ili arejeshe fitness yake, hapaswi kupangwa huku akiendelea kuharibu hii itamtoa zaidi mchezoni.
4. Lionel atteba ameongezeka uzito, aambiwe aupunguze au benchi limuhusu.
5. Hii mechi ilimuhitaji zaidi Kibu Denis prosper na sio Joshua Mutale.
6. Naiona dalili ya ubingwa kwa Simba msimu huu, hizi ndizo mechi ambazo Simba ilikua ikipoteza au kutoa sare.
Simba nguvu moja
Soma
- FT: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania | NBC PL | KMC Complex | 24.12.2024