Machache yaliyoonekana Simba ikiibuka na ushindi dakika za jioni dhidi ya JKT Tanzania

Kwenye hiyo mada namba 2 ninakubaliana na wewe kuwa huyo mchezaji wa JKT ni MWANAFAMILIA HALISI WA SIMBA.

Vilabu vyetu hivi unakuta mchezaji anachezea Mashujaa lakini Moyo upo Yanga
Ni vizuri kama na wengine mmelifikiria hilo.
 
Unatuona matako Yako siyo? 😂
 
Kocha aache ujinga kwani lazima Mutale acheze.
Pia anafanya sub bila kuangalia wapi panavuja.
Mavambo na Awesu waache kucheza na jukwaa na kukaa na mpira muda mrefu.
Chemalone apewe kipindi bado anarudia makosa yake.
Hamza naye aongeze umakini.
Kocha ashukuru tumeshinda Ila lawama zote zingekuea kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…