rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Amempa nafasi Mara nyingi Sana, Karabaka Yuko wapi, Manura mbona hapewi nafasi, Kama timu imeshinda ni muhimu apewe nafasi na sio kucheza kamarisikatai Mutale kapotea na anazidi kupotea
Kocha anafanya vile kurudisha confidence yake, mechi iliyohitaji matokeo kama hii ingetosha kabisa kumrudisha mutale mchezoni
Ninachokataa ni mashabiki kusema mutale hana kiwango, mutale wa mechi za mwanzo alikua ni mchezaji pekee anaepress kuanzia eneo la timu pinzani, alikua analeta kashkash mpaka wanajichanganya, hudhuria mazoezi bunju utanielewa kuhusu mutale.
Ndo wapi huko?Kibu aliomba likizo fupi yuko malekani
Na kubwa zaidi zaidi Sisi tunafurahi zaidi kusikia utopolo mnaumia...tunasonga mbeleKubwa zaidi mbeleko mmebebwq
Yanga pia ilistrugle kwa Tabora BoysIsingeshinda kwa ku struggle kiasi hiki
Mi mwenyewe nashangaa wanaosema eti mutale ni mzuri apewe muda mnataka apewe muda Mara ngapi mtu kacheza mechi karibu 10 performance yake ile ile ambayo inagharimu timu basi tuleteeni takwimu zake huko Zambia hawanaKwa Mutale imetosha sasa. Inaonekana aliyemleta Mutale pale Simba ni kigogo mkubwa sana. Haiwezekeni mechi kama ya leo timu inahitaji pointi tatu kwa machozi, jasho na damu halafu benchi la ufundi linafanya upuuzi wa kumuingiza Mutale ambaye toka amefika mechi aliyocheza vizuri ni ile ya Simba day tu. Vinginevyo viongozi waseme tu labda Mutale ana mkataba kama aliokuwa na Saidoo wa kucheza kila mechi.
Tuzungumuze ukweli ulio wazi Karabaka ni bora mara mia kuliko Mutale na amethibitsha hilo kwenye michezo michache aliyocheza. Lakini kwa upuuzi unaofanywa na bechi la ufundi la Simba eti leo Karabaka anataka kutolewa kwa mkopo halafu Mutale kila mechi yupo lazima acheze atatafutiwa hata dakika kumi kwa lazima.
Simba ni timu kubwa inayohitaji matokeo muda wate inatakiwa ifanye mambo yake kitaalamu kwa kumtafutia Mutale mtaalam wa saikolojia wamalizane wenyewe huko kambini na mazoezini na siku akiwa sawa ndio arudishwe aanze kucheza. Hivi inavyofanyika kulazimisha acheze ili arudishe saikolojia yake ndio kwanza anazidi kuwa kituko uwanjani na inageuka aibu kwa benchi la ufundi, kamati ya usajili na viongozi wote kwa ujumla. Na sijui kwa nini Simba wanahangaika na Mutale kwa kiasi hicho wakati Mutale mwenyewe ukimtazama tu usoni ni kama amechanganyikiwa hivi na hata akiingia uwanjani akipata mpira hajui afanye nini matokeo muda wote awapo uwanjani anaikaba Simba na anasababisha wenzake wacheze pungufu japo wametimia.
Ni mtizamo tu
Kunya wew kwanzaUnaumwa mavi