Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 502
- 1,141
Hili suala huwa silielewi kabisa. Unakuta chawa ni muislamu safi, au mkristo safi na wanamheshimu Mungu sana, hata ukisoma comments zao utaona wakiwa wanaongea kuhusu Mungu huwa wanaongea kinyenyekevu sana
Lakini sielewi ndio mstari wa mbele kushabikia mauaji ya October 29 na kudai waliouawa walistahili. Wanaongea hivi bila kujali kuwa wengi waliouawa hawakuwa na hatia
Point yao kubwa ni kwamba waandamanaji walikuwa wanaharibu na kuiba mali za watu. Je madai haya ni sahihi? Kuna vitu havipo sawa
❌ Sio kweli kwamba waandamanaji wote walikuwa wanaiba vitu vya watu
❌ Matukio ya wizi sio mengi ukifananisha na idadi ya waandamanaji nchini kote
❌ Si kweli kuwa waliouawa ni waandamanaji tu, wengi wao ni watu waliokuwa nje siku hiyo
❌ Sio kweli kwamba waandamanaji walikuwa wanaharibu mali za raia wasio na hatia bali maandamano ya October 29 yalilenga mali za mafisadi na watu wanaosupport ufisadi na utekaji
✅ Waandamanaji wengi hawakwenda kuiba mali za watu. Ni wachache tu na waliofanya hivi na hawa mostly ni wezi, sio waandamanaji
✅ Watu wengi vurugu walizokuwa wanafanya ni kuchoma mabango na kuharibu mali za mafisadi. Na fisadi ni mhaini namba moja
✅ Samia alitoa order ya kuua watu kwa sababu aliogopa utawala wake utaangushwa kwa sababu maandamano yalikuwa makubwa sana
❌ Si kweli kwamba Samia aliamuru watu wauliwe ili kulinda amani ya nchi bali alifanya hivyo ili kulinda utawala wake usiangushwe. Angekuwa anajali sana kuhusu amani ya Tanzania, angejiuzulu mapema na nchi ingetulia
Lakini kumekuwa na watu wakishabikia sana haya mauaji. Niwaulize tu swali hawa watu, adhabu ya mtu kuandamana ni kifo? Kwa nini mnashabikia mauaji ya watu kikatili namna ile, tena mauaji ya Watanzania wenzenu, most of them ni wasio na hatia?
Kama unashabikia ukatili mkubwa kiasi kile basi hata ukijinyenyekeza kwa Mungu kiasi gani, haisaidii kitu. Maana yake wewe ni mnafiki, unajifanya mcha Mungu, huku unashangilia mauaji 🚮🚮