Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Boss hicho kitabu ni kizuri sana kwa mtu aliye seriously na biashara nakitoa kama msaada tu kwa watu walio seriously na biashara.UNAKERA NA MALINK YA LIKITABU LAKO HALINA FAIDA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss hicho kitabu ni kizuri sana kwa mtu aliye seriously na biashara nakitoa kama msaada tu kwa watu walio seriously na biashara.UNAKERA NA MALINK YA LIKITABU LAKO HALINA FAIDA.
Yaani ninunue kitabu huo ni upuuziBoss hicho kitabu ni kizuri sana kwa mtu aliye seriously na biashara nakitoa kama msaada tu kwa watu walio seriously na biashara.
Dowload app ya sanga storeMkuu chimbo la vifaa vya electronic, mafriji, tv, redio, jiko za umeme n.k
Bridger Fang huyu mtu kachafua uzi na malink yake ya hovyo karibia uzi mzima.![]()
Kitabu cha Machimbo ya Biashara Kariakoo bidhaa za jumla na rejareja bei nafuu
Ni kitabu kizuri sana kwa wafanya biashara. Kina namba za suppliers 600 wa jumla na rejareja. Kina maduka ya wachina yanayo patikana Kariakoo. Whatsapp: 0612607426 Email: bandg.editors@gmail.comcampuscitymall.com
Wana jamii forums wengi sana na watanzania wengi sana wamefaidika na hivi vitabu tunavyo post. Wewe kama hufaidiki na hizi post zetu za matangazo ya biashara ni vyema ukawaachia wenzako wafaidike. Tunataka wanajamii forum wafaidike na jukwaa hili. Tupo seriously hatupo kuchekacheka kwenye hili jukwaa.
Sawa meneja uchwara, hucheki na wowoteWana jamii forums wengi sana na watanzania wengi sana wamefaidika na hivi vitabu tunavyo post. Wewe kama hufaidiki na hizi post zetu za matangazo ya biashara ni vyema ukawaachia wenzako wafaidike. Tunataka wanajamii forum wafaidike na jukwaa hili. Tupo seriously hatupo kuchekacheka kwenye hili jukwaa.
Kitabu kimejaa namba za simu za suppliers wanao uza bidhaa Kariakoo kwa bei nafuu na mitaa yake. Hicho kitabu lazima kifungue milango ya biashara kwa wanajamii forum walio seriously na biashara.Sawa meneja uchwara, hucheki na wowote
Inbox please tuyajenge mkuuKama kuna mfanyabiashara anataka kuenda hiyo mitaa tajwa hapo juu alafu hajui aanzie wapi kijana wangu anaweza kuenda nae atampoza kidogo baada ya matembezi mafupi na kumuonyesha machimbo.