Huijui vizuri kariakoo, hayo machimbo yapo tangu mwaka 2007 nilipoyasikia na kuyaona. Tatizo wengi wetu tunadhani kariakoo ni mtaa wa kongo na msimbazi tu.Miaka yote hii unataka kusema watu hawaijui hii plan?
Ukipita Kariakoo mida hii 9 alfajiri naamini utaona maduka mengi yamefungwa, sasa hayo machimbo yapo underground au?
Usije kufanya watu waende Kariakoo mida mibaya waishie kukabwa na kuibiwa pesa zao warudi nyumbani na damu badala ya hizo Abaya za bei rahisi.
Hii mida 9 alfajiri kuambia watoto wa kike wakimbilie Kariakoo kutafuta Abaya za bei rahisi unataka wabakwe tu.Huijui vizuri kariakoo, hayo machimbo yapo tangu mwaka 2007 nilipoyasikia na kuyaona. Tatizo wengi wetu tunadhani kariakoo ni mtaa wa kongo na msimbazi tu.
Pia "Kariakoo kuna zaidi ya biashara"
Wengi wenye maduka sio watoto wa kike jamaa anachosema yupo sahihi Kariakoo usiku ndio wanapokea mzigo na kuuuza muda huo huo inategemeana na duka lililopata mzigo kama hana mzigo siku hiyo afungui ila vijana wa kazi wanajua waliopokea mzigo mchana..Hii mida 9 alfajiri kuambia watoto wa kike wakimbilie Kariakoo kuafuta Abaya za bei rahisi unataka wabakwe tu.
Hujalala au unafunga mizigo ya wat wa mikoan?Usiku ni muda wa mawinga kupakia mizigo ya transit na ya mikoani..!!
Ila wachuuzi wa hapa hapa asubuhi
Duh sasa sisi wa Mkoani tunafanyeje1. Ukitaka chimbo la bidhaa zote acha usingizi, nenda Kariakoo muda kama huu saa 8 za usiku
2. Machimbo ya bei nafuu sio Siri, yapo wazi usiku tu kuanzia saa 7,8,9 ndo utayaona
3. Usije Kariakoo saa 5 asubuhi 😂 eti oooh naulizia chimbo la vifaa vya simu, chimbo la abaya, Chimbo la Raba hutapata ng'ooo
4.Machimbo hayana connection wala sijui groups za Whatsapp, we jitoe nenda Kariakoo usiku matajiri wanashusha mizigo unabeba Kwa bei cheee
5. Hizo Abaya mnazouziwa bei ya jumla 35,000 ili mkauze 60,000 hapa usiku huu watu wanazoa Kwa 13,000
6. Sandles mnazonunua 3500 jumla hapa zinauzwa 1200
7. Kipindi usiku umelala unazagamua ili kesho uamkie Kariakoo kuchukua mzigo ujue wenzako wamelala nao wa bei ya chimbo
8 Narudia tena mchana hutaona Chimbo lolote
9. Nimegundua wafanyabiasha wakubwa hawalali, wale watu wanao deal na fashion tuko nao hapa wanapambania mzigo kama watoto wa shule wanavopigania wali
10. Usiku ndo muda wa kusaka utajiri.
Muwe na usiku mwema wana jf