Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,781
- 12,587
Halafu uzuri mimi Wala sina shida na hayo machimbo maana sio mishe zangu, ila najua kuna watu wanahitaji lakini ndo hivyo changamoto ni nyingi
Kumbe na wewe akili ndogo kama pumzi kwenye kisoda. Kwahiyo Kwa akili yako unafikiri hapa anayehitaji taarifa ni huyo tu. Humu wapo wengi wanaofatilia Uzi huu ili kupata taarifa zaidi ya machimbo.
Sasa Kwa kuwa wewe amekukwaza mtu mmoja tuu ndio unasusa na kuwakomoa wengine. Au uumezoea kubembelezwa pm?