Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Tukutane saa 7 usiku sikukuu na mchikichiUsiku ni muda wa mawinga kupakia mizigo ya transit na ya mikoani..!!
Ila wachuuzi wa hapa hapa asubuhi

Kuwanga au? 😹Tukutane saa 7 usiku sikukuu na mchikichi
Mwongozo ni upi usiku au asubuhi???? Wakuja tusije ingia chaka lo
Unioneshe chimboKuwanga au? 😹
Chimbo usiku huogopi kukabwa? 😹Unioneshe chimbo
Aaah, nilikopi tofauti, haya hizi hapaHiyo picha ya juu ni Mbezi mwisho mkuu😅
labda kama mnaiba.1. Ukitaka chimbo la bidhaa zote acha usingizi, nenda Kariakoo muda kama huu saa 8 za usiku
2. Machimbo ya bei nafuu sio Siri, yapo wazi usiku tu kuanzia saa 7,8,9 ndo utayaona
3. Usije Kariakoo saa 5 asubuhi 😂 eti oooh naulizia chimbo la vifaa vya simu, chimbo la abaya, Chimbo la Raba hutapata ng'ooo
4.Machimbo hayana connection wala sijui groups za Whatsapp, we jitoe nenda Kariakoo usiku matajiri wanashusha mizigo unabeba Kwa bei cheee
5. Hizo Abaya mnazouziwa bei ya jumla 35,000 ili mkauze 60,000 hapa usiku huu watu wanazoa Kwa 13,000
6. Sandles mnazonunua 3500 jumla hapa zinauzwa 1200
7. Kipindi usiku umelala unazagamua ili kesho uamkie Kariakoo kuchukua mzigo ujue wenzako wamelala nao wa bei ya chimbo
8 Narudia tena mchana hutaona Chimbo lolote
9. Nimegundua wafanyabiasha wakubwa hawalali, wale watu wanao deal na fashion tuko nao hapa wanapambania mzigo kama watoto wa shule wanavopigania wali
10. Usiku ndo muda wa kusaka utajiri.
Muwe na usiku mwema wana jf
kalia koo
Kumbe kariakoo wati hawalali usiku?1. Ukitaka chimbo la bidhaa zote acha usingizi, nenda Kariakoo muda kama huu saa 8 za usiku
2. Machimbo ya bei nafuu sio Siri, yapo wazi usiku tu kuanzia saa 7,8,9 ndo utayaona
3. Usije Kariakoo saa 5 asubuhi 😂 eti oooh naulizia chimbo la vifaa vya simu, chimbo la abaya, Chimbo la Raba hutapata ng'ooo
4.Machimbo hayana connection wala sijui groups za Whatsapp, we jitoe nenda Kariakoo usiku matajiri wanashusha mizigo unabeba Kwa bei cheee
5. Hizo Abaya mnazouziwa bei ya jumla 35,000 ili mkauze 60,000 hapa usiku huu watu wanazoa Kwa 13,000
6. Sandles mnazonunua 3500 jumla hapa zinauzwa 1200
7. Kipindi usiku umelala unazagamua ili kesho uamkie Kariakoo kuchukua mzigo ujue wenzako wamelala nao wa bei ya chimbo
8 Narudia tena mchana hutaona Chimbo lolote
9. Nimegundua wafanyabiasha wakubwa hawalali, wale watu wanao deal na fashion tuko nao hapa wanapambania mzigo kama watoto wa shule wanavopigania wali
10. Usiku ndo muda wa kusaka utajiri.
Muwe na usiku mwema wana jf
Alfajiri na jioni...Mwongozo ni upi usiku au asubuhi???? Wakuja tusije ingia chaka lo
Kama dar yote unaijua peke yako basi endelea kujipa umuhimu ambao huna. Shwain😹😹😹 Tibu kichaa chako kwanza..!!
Pm unanibembeleza wewe?
Kwa midomo hiyo mtasubiri sana kupewa machimbo..😏
Siyo kulala tu...Kumbe kariakoo wati hawalali usiku?
We jamaaa
Sante sanaAlfajiri na jioni...
Uwongo ndio huu1. Ukitaka chimbo la bidhaa zote acha usingizi, nenda Kariakoo muda kama huu saa 8 za usiku
2. Machimbo ya bei nafuu sio Siri, yapo wazi usiku tu kuanzia saa 7,8,9 ndo utayaona
3. Usije Kariakoo saa 5 asubuhi 😂 eti oooh naulizia chimbo la vifaa vya simu, chimbo la abaya, Chimbo la Raba hutapata ng'ooo
4.Machimbo hayana connection wala sijui groups za Whatsapp, we jitoe nenda Kariakoo usiku matajiri wanashusha mizigo unabeba Kwa bei cheee
5. Hizo Abaya mnazouziwa bei ya jumla 35,000 ili mkauze 60,000 hapa usiku huu watu wanazoa Kwa 13,000
6. Sandles mnazonunua 3500 jumla hapa zinauzwa 1200
7. Kipindi usiku umelala unazagamua ili kesho uamkie Kariakoo kuchukua mzigo ujue wenzako wamelala nao wa bei ya chimbo
8 Narudia tena mchana hutaona Chimbo lolote
9. Nimegundua wafanyabiasha wakubwa hawalali, wale watu wanao deal na fashion tuko nao hapa wanapambania mzigo kama watoto wa shule wanavopigania wali
10. Usiku ndo muda wa kusaka utajiri.
Muwe na usiku mwema wana jf
Nilikuwa najua namuelewesha mjinga kumbe IDIOT 💩Hao wa kuuza jumla na rejareja ndio hawakabiki au?
Kaa utulie.