Machimbo ya Kariakoo yapo usiku wa manane tu, mchana hutayaona utadalaliwa tu

Hakika,
Nakumbuka Mama yangu mdogo alikuwa na genge Boko-Basihaya miaka ya 2010's alikuwa anaagiza mizigo kama yote masaa hayo. Na kulikuwa na gari special za kusupply kwenye maduka. Anayekukatalia anakataa asichokielewa ila umenikumbudha mbali sana Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…