Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 1,534
- 1,511
Hii Kwa simu nyingi haina hii featureMzee Ukiacha l pesa na pesa x izo zingine zote futa Tu
L pesa nadaiwa 24
Branch nadaiwa 24
Pesa x sidaiwi na mpaka sasa na uwezo wa kukopa hawa pesa x mkopo wao ni muda mfupi Sana siku 7 uwe umelipa alafu liba kubwa
L pesa na branch nadaiwa nilikaa muda mrefu siko tz nimerudi sijalipa bado
Hawa L pesa kwa sasa Wana kipengele cha upload mobile money statement ya mwezi mzima mihamala uliofanya kwa mtandao unao tumia iwe tigo au voda hiki kipengele kama auna mihamala ni kigumu
View attachment 2521480
Pesa x na lipesa mbona nikitu kimoja mtaalamMzee Ukiacha l pesa na pesa x izo zingine zote futa Tu
L pesa nadaiwa 24
Branch nadaiwa 24
Pesa x sidaiwi na mpaka sasa na uwezo wa kukopa hawa pesa x mkopo wao ni muda mfupi Sana siku 7 uwe umelipa alafu liba kubwa
L pesa na branch nadaiwa nilikaa muda mrefu siko tz nimerudi sijalipa bado
Hawa L pesa kwa sasa Wana kipengele cha upload mobile money statement ya mwezi mzima mihamala uliofanya kwa mtandao unao tumia iwe tigo au voda hiki kipengele kama auna mihamala ni kigumu
View attachment 2521480
Ndugu yangu na uzoefu na izo zote kama unaamini izo kampun moja sawaPesa x na lipesa mbona nikitu kimoja mtaalam
Mkuu hii pesaX ina mlolongo na ubabaishaji katika kujiunga na kukopa?Ipo play store iyoView attachment 2520465
Ahaa mtani naona umetufokea kule kwenye sports sio mchezoMkuu hii pesaX ina mlolongo na ubabaishaji katika kujiunga na kukopa?
Nilichukua 15 nikalipa 18600Ahaa mtani naona umetufokea kule kwenye sports sio mchezo
Mkuu kujiunga unajiunga Tu na inatoa mkopo kuanzia elf 20 Ila unalipa baada ya wiki riba mlima kwenye kujiunga pale kupiga picha kaa sehemu yenye mwanga Safi pia inakwambia u bendi kidogo shingo na usmile inakaa poa wahudumiaji wao wasumbufu Sana kabla aijafika siku washapiga simu naona nao ndio malipo Yao yanatokana na mtu anavyolipa
Hapa chini ni baadhi ya mikopo niliochukua na kulipa mpaka sasa japo saizi sijachukua bado ukishajisajili itakulazim usubiri zaidi kama siku tano au zaidi waki confirm identity zako kwangu ilikua ivyo kila la kheri
View attachment 2522686
Mtani nashukuru ngoja nichukue chap nusu nilipe kiingilio nikawatazame mabingwa pale kwa mkapa nusu nimpe Yanga win & over 2.5 chap pesa inarudi nalipa deni 😀Ahaa mtani naona umetufokea kule kwenye sports sio mchezo
Mkuu kujiunga unajiunga Tu na inatoa mkopo kuanzia elf 20 Ila unalipa baada ya wiki riba mlima kwenye kujiunga pale kupiga picha kaa sehemu yenye mwanga Safi pia inakwambia u bendi kidogo shingo na usmile inakaa poa wahudumiaji wao wasumbufu Sana kabla aijafika siku washapiga simu naona nao ndio malipo Yao yanatokana na mtu anavyolipa
Hapa chini ni baadhi ya mikopo niliochukua na kulipa mpaka sasa japo saizi sijachukua bado ukishajisajili itakulazim usubiri zaidi kama siku tano au zaidi waki confirm identity zako kwangu ilikua ivyo kila la kheri
View attachment 2522686
Hii ni kampuni gani na mkopo wanaprocess baada ya muda gani ukisha jisajili???Ahaa mtani naona umetufokea kule kwenye sports sio mchezo
Mkuu kujiunga unajiunga Tu na inatoa mkopo kuanzia elf 20 Ila unalipa baada ya wiki riba mlima kwenye kujiunga pale kupiga picha kaa sehemu yenye mwanga Safi pia inakwambia u bendi kidogo shingo na usmile inakaa poa wahudumiaji wao wasumbufu Sana kabla aijafika siku washapiga simu naona nao ndio malipo Yao yanatokana na mtu anavyolipa
Hapa chini ni baadhi ya mikopo niliochukua na kulipa mpaka sasa japo saizi sijachukua bado ukishajisajili itakulazim usubiri zaidi kama siku tano au zaidi waki confirm identity zako kwangu ilikua ivyo kila la kheri
View attachment 2522686
Tupe namna ya kukopaHabari za Jumapili wakuu!
Napenda tujuzane mahali pa kupata mikopo kwa njia ya simu.
Binafsi nimekuwa mnufaika mzuri wa mifumo hii ya ukopeshaji kwa njia ya simu.
Nimekuwa mteja wa makampuni haya kwa muda sasa na kiukweli yanasaidia sana hasa unapokuwa na emergency.
Miongoni mwa makampuni/mashirika ninayoyatumia ni Branch International, L-pesa microfinance na TALA (hii haipo nchini kwa sasa).
Pia kuna huduma za mikopo kwenye mitandao ya simu kama vile M-Pawa, Songesha (Vodacom), Tigo Nivushe (Tigo)n.k
Huduma hizi ni nzuri na uhakika kikubwa ni uaminifu tu kwani mimi nimeweza kukopa na kufikia viwango vya juu.
Kama kuna anayejua chimbo lingine tujuzane.
Ahsanteni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo ni pesa x takriban kama wiki ivi inachukua mpaka kupata mkopo ukishajisajiliHii ni kampuni gani na mkopo wanaprocess baada ya muda gani ukisha jisajili???
So unapakuwa app kama kawa siyoIyo ni pesa x takriban kama wiki ivi inachukua mpaka kupata mkopo ukishajisajili
Yah play storeSo unapakuwa app kama kawa siyo
Mbona siioni yenye nembo hiyo mkuuIpo play store iyoView attachment 2520465
Mbona iyo hapo mkuu ukisachi Tu pesax inakujaMbona siioni yenye nembo hiyo mkuu
WAPUMBAVU wanalazimisha VODA na TIGO tuuuu kumbe ndio maana wamechelewesha watu sanaMbona iyo hapo mkuu ukisachi Tu pesax inakuja
View attachment 2523656
mi mbna nimeomba siku moja nikapata siku iyo iyo na ni artelWAPUMBAVU wanalazimisha VODA na TIGO tuuuu kumbe ndio maana wamechelewesha watu sana
Na Mimi Najua ivyo saiz mitandao yote wanatoa na leo wamenipigia na kunitumia text nililipa nikaacha kukopa sababu mkopo ulipe ndan ya wiki riba kubwami mbna nimeomba siku moja nikapata siku iyo iyo na ni artel
View attachment 2525063
Zote izo ni apps za mikopo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii nayo niyakitapeli
Hii ipo sawana
L PESA
KOPESHA POA na
MKOPO EXTRA
Imagine hata email na password ni Moja
Na hizi za chini yàke
Kuanzia MKOPO APP Hadi nufaika loan ni kitu kimoja Uhuni wa ajabu kabisa View attachment 2521410
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan hamna siku nimecheka kama leo ,sasa mkuu hizo Apps zote za mikopo daahHii nayo niyakitapeli