Machimbo ya kupata mikopo rahisi kwa njia ya simu

Wenye uzoefu na mkopo xtra kuna kitu kweli huku maana naona pending bila kikomo alafu kwa mara ya kwanza wana offer mikopo mkubwa kwanzia laki tano lakini kwenye kutoa ndio mzozo
 
Wenye uzoefu na mkopo xtra kuna kitu kweli huku maana naona pending bila kikomo alafu kwa mara ya kwanza wana offer mikopo mkubwa kwanzia laki tano lakini kwenye kutoa ndio mzozo
Utapoteza muda
 
Watu majasiri kuwa kopesha wabongo mtandaoni sasa apo wakipigwa wata wapitia wapi [emoji81][emoji81][emoji81]
 
wakuu kuna hii nikopeshe ni uhakika au matapeli maana nimejaza infor wanataka nilipie elfu nne kwanza sijui processing fee nipeni uhakika wakuu maana kuna harufu ya kupigwa
 
Maisha mkuu maisha, hiyo naenda kuwanunulia watoto chakula, ama nguo za sagula sagula inatosha,
Ninachoshangaa humu ndani kila mtu amesoma sana,kila mtu ana gari,kila mtu ana connection za hatari,kila mtu tajiri ila chakushangaza ndio wanaoongoza kukopa mikopo ya TALA na kukimbia bila kulipa
 
Kuna umoja loan ila riba imesimama

Nyingine soma

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…