Machinga kuwashikashika wanawake inakera sana!


Wewe usiongee
Kuna watu hawavai hayo mavazi na ghasia wanazipata, wengi wao ni wakosa adabu tu. Huyo alovaa kimini kakuletea paja si utizame tu.

Mimi navaa shungi tena na gauni hilo lakin hawana adab wakitaka kukuuzia vitu vyao kwa lazima

Kuna siku mpaka nimelia hapo kariakoo yalipokua yanapaki gari za M/nyamala

Mtu ana kuharass alafu ukiwa mkali wanaanza kunyambua hadi unashangaa kisa sihitaji kununua

Yani nilikua down tu siku ile bahati yake.
 
Sipendi hii hali hata mimi mara ushikwe mkono mara bega...mara sjui nini...aseeeeeeeeee hii nchi ya ovyo sana
Nakerekaaaaaaaaaa nataman niwawashe kofii.
mwanamke kama ataki mwanaume hawezi mgusa bhana mnapeda sana kutiwa vidole
 
90% wanashusha adabu, 10% haishtui... wengi wape, Mnajishushia wenyewe heshima.
 
Ebu fikiria alafu mtu anakuja anakuambia tunataka wenyewe kudhalilishwa huwa nawashangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
baadhi ya wanawake wanapenda sana kutiwa dole na wapiga debe na chinga na konda hapa wanajitia kulaumu pele mwenge kwa wapaka rangi unakuta jimama zima miaka 25 sura kama ya babake nguu umechanika magaga heti kaacha wazi mipaja mwiesi kijana kakija miaka 15 kana msugua miguu uku kakimtia kidole baadhi ya wanawake mnalaana
 
Yesu alisema pendaneni
 
Basi basi warembo, tutaacha kuwashika, ila mkiitwa kwa kuuliza muwe mnakataa kwa ishara basi sio kula buyu, ni katika harakati za kutafuta riziki tu
 
Basi basi warembo, tutaacha kuwashika, ila mkiitwa kwa kuuliza muwe mnakataa kwa ishara basi sio kula buyu, ni katika harakati za kutafuta riziki tu
mwanamke alie jiweka kiheshima machinga hawezi kumsogelea au wapiga debe zaidi watamkarisha kwa heshi kubwa machinga wanawatia vidole wenawake watembea nusu uchi wavaa vimini mwanake alie vaa nguo zake safi na koba wake kwapani chinga hata wapiga debe hawamsumbui
 
Tatizo hamchukui hatua,sheria zpo ni kuripoti mtu akamatwe n then mahakaman kisha hukumbili iwe fundisho....lkn mkiacha hvyo mkaja kulalalmika uku hakuna cha maana ....business itaendelea as usual
 
We ndo kama mm,sipapend pale kuna karaha tupu,mara ya mwsho kukanya nahisi hata miaka 10 imefka kwa jinsi nnavopachukia.
Last nlishkwa nyonyo ndo ilkua mara ya mwsho me kukanyaga soko lile.
Ila bana kuna watoto wazuri wameumbwa unajikuta umemshika automatic tu.
 
Ila anaemtafuna anafaidi ni wa moto sijawahi ona demu wa hivyo huenda alikuwa jini yaani kulikuwa kitendo cha sekunde kama 20 ila ilisimama ghafla kwa joto
 
Mimi huwa najichomoa fasta kabla mtuehajanishika
Tena akijitoa ufahamu namm najitoa hivyohivyo bila kuzungumza chochote.
Huwa nakuwa mkali kwa ishara na natembea kwa mwendokasi.

Ila hii tabia inakera sana.
 
Nna miaka kama 10 sijaenda karume aisee sijawai kuona sehem yenye karaha kama ile yani mtu atakushika mkono hataki kukuachia tafrani tupu
Wanakera sana
Unamwambia mtu sina hela ila bado anakuganda mkono.
 
Kama umevaa kimahabamahaba utashikwa tu, machinga wana ukame wa muda mrefu na wake hawana, wanaponea kwa kuwashikashika japo kidogo wanaridhika na kutulia. Wanapenda sana pisi kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…