Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Walikushika😂😂😂😂Unataka kusema hii Chai.
ilala hasa wale wanajifanyaga road work walkers hawafai ht kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikushika😂😂😂😂Unataka kusema hii Chai.
ilala hasa wale wanajifanyaga road work walkers hawafai ht kidogo.
Wana tabia ya hovyo sana, ndio ni sehemu ya utafutaji lakini namna wanavyomshawishi mteja sio nzuri. Ukiwa mnyonge wanakuibia ukiwa unaona kabisa.Mimi huwa nambadilisha sura aisee hasa vituo vya mabasi sitaki mtu ashike kitu changu 😀
Kweli kabisa na kama ni mdada watakusumbua sanaWana tabia ya hovyo sana, ndio ni sehemu ya utafutaji lakini namna wanavyomshawishi mteja sio nzuri. Ukiwa mnyonge wanakuibia ukiwa unaona kabisa.
Sophy usiku mwemaWalikushika😂😂😂😂
Ndio ukajifunze taekwondo ticha yupo humu ushamuona 😂Kweli kabisa na kama ni mdada watakusumbua sana
😂😂😂Yan ilo ndo la maana navaa baibui na pens langu ndani taekwondo Kwa kwenda mbeleNdio ukajifunze taekwondo ticha yupo humu ushamuona 😂
😂😂Kunakitu nimekumbuka nimecheka sana usikumwemaSophy usiku mwema
Usiku mwema bhana mana naona unaanzisha uzi ndani ya uzi😁
Akileta za kuleta unampiga moja shwaaa mtu mbadii 😁😂😂😂Yan ilo ndo la maana navaa baibui na pens langu ndani taekwondo Kwa kwenda mbele
Sema kabla cjaondoka hapa nikione😂😂Kunakitu nimekumbuka nimecheka sana usikumwema
Next time lala kwanza 😂😂Sema kabla cjaondoka hapa nikione
Naruka tikitaka shwaa😀😀Akileta za kuleta unampiga moja shwaaa mtu mbadii 😁
Machinga mbio lazima heshima iwepoNaruka tikitaka shwaa😀😀
Kitu gan hichoKunakitu kilinikumba nikajifunza kuvaa Kwa adabu 😂😂😂@tareek nilitak niseme hiki
Anaongea kwa hasira wakati karume na kariakoo wamejaa wahuni ambao akili zao hata hazijai nusu kikombe.Kunakitu kilinikumba nikajifunza kuvaa Kwa adabu 😂😂😂@tareek nilitak niseme hiki
😂😂😂Kitu gan hicho
Nilienda kucheza mpira na sketi bila kuvalia track ndani Nikapewa salamu kuwa nawatega nivae tu manguo yangu ya kilasiku 😂😂😂 Tena Kwa kuchambwa kwani kilasiku unavaa track ndefu Leo utuvalie kiskert dada 😂😂😂na hapo nilivalia nguo ndani na soks ndefu lakin wanaume 😀 nilijutaKitu gan hicho
DuhPale Karume kuna wanao tafunwa kabisa sio kushikwashikwa tu!!!!Wale wanaokwribishwa nguo mule ndani wengi huishia kuliwa...