Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Hwuuh! Unashangaa hayo? Shangaa wapaka rangi kucha, utakuta mwanamke kamnyanyulia mguu mpaka rangi huku mkono mmoja kashikilia kanga kuziba pale kati, mara anaachia kanga paap! Kabati linakuwa wazi na vyombo vyote ndani vinaonekana!
Sasa hapa nani alaumiwe kama si kumrusha roho mpaka rangi? Shangaa nyingine kwenye kwenye usafiri wa kusimama ndani ya basi, unakuta mwanamke makalio yake yote kakugeuzia na yanagusa sehemu nyeti joto kama lote linatua mzigoni.
Jamaa mapigo ya moyo yanaanza kwenda kwa kasi, huo uchafu aliojichafua kwa kukandamizwa na makalio sio wa nchi hii! Kama unaona machinga wana tabia hiyo ni kuwaepuka tu
Walaumiwe “watu” na sio jinsia zao.
Kama ambavyo kuna wanaume wasio wastaarabu na wasiojiheshimu, wapo wanawake pia wenye hizo hulka mbovu.
Suala la maadili kwa mazingira tuliyopo leo ni pana sana kiasi kwamba ni dhahiri hata wenye mamlaka na wajibu wa kuyasemea na kuyakemea hawajui wapi pa kuanzia na kibaya zaidi asilimia kubwa kati Yao ni washiriki wazuri pia wa uvunjifu wa hayo maadili yenyewe.
Makadirio ya Nguvu ya Uumbaji yataamua.
It’s a twisted & sad dilemma!