πππBasi kwa niaba ya wanajukwaa natoa pole za dhati kwake
Kumbe yule ilikuwa ni wewe?? π€£π€£π€£Mimi huwa nawakung'uta na hamna kitu wananifanya aisee, kuna siku nimeshuka mwenge machinga mmoja akawa ananing'ang'aniza kununua nguo kwake nikamwambia sihitaji nguo akaanza kunishika,kila nikijaribu kumkwepa naona ananizonga, niliweka mkoba begani vizuri nikageuka kama naondoka nikampa teke la nyuma, hajakaa vizuri nikampa side kick, anataka kunyanyuka nikamshika shati nikamnyanyua nikamwambia sasa wewe ulikua unanishika simama hapa unishike vizuri, ikabidi wenzie wamuamulie, nikawaambia msipende kuzoea watu sisi wengine ni waalimu wa taekwondo
Watu walijaa nikasepa zangu wakabaki wanamcheka
Hebu kapicha kake tuone jicho la huba hilo.Yupo hapa pembeni ananitazama kwa jicho la huba
Usifanye hivyo sio vizuri utapata dhambi unajua πMie huwa nawatukana wapuuzi sana wale. Akijidai kumaindi natoa kalamu kama silaha ya kumchoma
Hii ni kweli mkuu me nilivyofanya kwenye mwendo kasi ni kuvalia begi kwa mbele tofauti na hapo na ugumu wa miaka 20 ningejichafua bure demu hana hata habari.Hwuuh! Unashangaa hayo? Shangaa wapaka rangi kucha, utakuta mwanamke kamnyanyulia mguu mpaka rangi huku mkono mmoja kashikilia kanga kuziba pale kati, mara anaachia kanga paap! Kabati linakuwa wazi na vyombo vyote ndani vinaonekana!
Sasa hapa nani alaumiwe kama si kumrusha roho mpaka rangi? Shangaa nyingine kwenye kwenye usafiri wa kusimama ndani ya basi, unakuta mwanamke makalio yake yote kakugeuzia na yanagusa sehemu nyeti joto kama lote linatua mzigoni.
Jamaa mapigo ya moyo yanaanza kwenda kwa kasi, huo uchafu aliojichafua kwa kukandamizwa na makalio sio wa nchi hii! Kama unaona machinga wana tabia hiyo ni kuwaepuka tu
Yeah, ungesogea tuungane kumcharaza machinga mkuuKumbe yule ilikuwa ni wewe?? π€£π€£π€£
πππHebu kapicha kake tuone jicho la huba hilo.
Fanya haraka kabla wapinga ndoa hawajavamia uzi
Tatizo ujuzi wangu kichwani hauakisi ule wa vitendo.Yeah, ungesogea tuungane kumcharaza machinga mkuu
Alikuonea tu huruma πMimi huwa nawakung'uta na hamna kitu wananifanya aisee, kuna siku nimeshuka mwenge machinga mmoja akawa ananing'ang'aniza kununua nguo kwake nikamwambia sihitaji nguo akaanza kunishika,kila nikijaribu kumkwepa naona ananizonga, niliweka mkoba begani vizuri nikageuka kama naondoka nikampa teke la nyuma, hajakaa vizuri nikampa side kick, anataka kunyanyuka nikamshika shati nikamnyanyua nikamwambia sasa wewe ulikua unanishika simama hapa unishike vizuri, ikabidi wenzie wamuamulie, nikawaambia msipende kuzoea watu sisi wengine ni waalimu wa taekwondo
Watu walijaa nikasepa zangu wakabaki wanamcheka
Mkuu kama una imagination, ukijiunga Taekwondo class you will the best student, maana utakua unaweka imagination kwenye vitendo, ndani ya miezi miwili utakua na uwezo wa kugaragaza kijiji kizimaTatizo ujuzi wangu kichwani hauakisi ule wa vitendo.
Nina uwezo wa kupiga flying kick kama Van Damme ndani ya kichwa ikija katika uhalisia sasa ni mambo mengineπ€£π€£π€£
Aaa wapi, i got the best fighting skills, yaani nina uhakika hata wangekuja watatu ningewagaragaza, else nikiona mahali siwezi pigana huwa najifanya mjinga naondoka ila kama mazingira ni rafiki na the oponent ni mwepesi, aisee huwa sirudi nyumaAlikuonea tu huruma π
Kuna siku niliwekewa Tako na Dem kimaksudi kwenye Costa, nililibambia na mashine ikishainuka mpaka masaa yapite, nikaona nigeukie pembeni nisije kukodolewa macho kwenye suruali.Mi kuna siku nilikuwa kwenye mwendokasi demu akaniwekea tako dah la moto hatari kidogo nidhalilike nimwage wazungu
100mil dollar advice π―Don't try this. utapoteza vingi.
Elewa tu kuwa hii Dunia imejaa watu WAJINGA/WAPUMBAVU, na wamejigawa kimkakati ili kwa siku uweze kukutana na angalau Mmoja kati yao.
Respect yourself Bibie.
Hunitakii mema weweπ€£π€£π€£.Mkuu kama una imagination, ukijiunga Taekwondo class you will the best student, maana utakua unaweka imagination kwenye vitendo, ndani ya miezi miwili utakua na uwezo wa kugaragaza kijiji kizima
Ni muhimu kuwa skills si unaona hawa jamaa wajinga jinga kama machinga au makonda wakisumbua huna haja ya kutumia fimbo wala bunduki, kuna vibaka uchwara pia ambao huwa wanayisha watu, kwanza unakuta hujatembea na hivyo vitu wakati tukio linatokea, ila ukiwa uko fiti yaani muda wowote unapambana, fita ni fita mraaHunitakii mema weweπ€£π€£π€£.
Unajua jinsi mfupa wa mtu mzima unavyochukua muda kuunga ukivunjika.
I think it wise to let the skills in my head remain there only. Kihalisia tutatumia mawe, fimbo na bunduki tu.
Hutaki kusifiwa πMda huu nakatisha hapa mwenge muuza viatu amenishika bega eti oya sister viatu tujaribuu...nkamjibu hadi unishike jaman? Akajibu nimependa mwili wako....kwa hasira nkamjibu kapende wa mkeo
Wale wamachinga hawanaga adabu hata uwe umevaa dera au gunia watakushika tu acha kupotosha, hat uwe umetoka kanisani umevaa kama sista watakushika tu, by the way wasiwe sababu ya kuwanyima watu kuvaa kwa uhuruMhhh!!! Bila shaka ushashikwa matako wewe. Sasa dada, kama unajitembeza barabarani nusu uchi unataka nini? Kama sio tango? Skuzote jinsi unavojiweka ndo watu watakuchukulia hivohivo.
Ukija mahakamani kushtaki Huku umenivalia ovyo na Tako lako kubwa lazma na mie nilishike tuu, hamna namna Si ndo mnavotaka?
Mtembezee teke na ngumiMda huu nakatisha hapa mwenge muuza viatu amenishika bega eti oya sister viatu tujaribuu...nkamjibu hadi unishike jaman? Akajibu nimependa mwili wako....kwa hasira nkamjibu kapende wa mkeo
Wana matusi waleeeeMtembezee teke na ngumi